Mzazi amuuza mtoto wake

Mzazi amuuza mtoto wake

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,611
Reaction score
65,061
Kuwa na watoto wengi kuna faida, na pia kuna changamoto katika kuwalea; kuna baba mmoja ana watoto wanane (8), amekutwa katika mazingira ya kumuuza mtoto wake kutokana na ugumu wa maisha. Angalia mtoto alivyokuwa anauzwa..

mtoto.jpg
 
Back
Top Bottom