Mzaliwa wa kwanza

king herode

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
370
Reaction score
579
Habari wakuu,

Hakuna kitu kigumu kama kuwa mzaliwa wa kwanza, ninayopitia ni zaidi ya changamoto, natamani kuishi kama wengine kujijenga kiuchumi lakini kila nikitaka kupiga hatua moja narudi nyuma hatua kama nne hivi kutokana na vita ambavyo muovu anapambana na mimi.

Nime-judge sana watu kuwa na watoto zaidi ya mmoja ili hali hawapo kwenye mahusiano wala hawana malengo na wazazi wenzao. The same has happened to me nimepata mtu sahihi wa maisha nimekaa nae ndan ya miezi nane anakuja mtu from no where anadai kajifungua mtoto wako, sijui hata namuelezaje niliye nae yaan?

Natamani kurudisha siku nyuma kidogo
 
Lea mtoto acha kukufuru..kuna watu Wana miaka dahari wanahangaika kupata mtoto, mwenzi wako bora usimweleze sasa anaweza geuka mjumbe ghafla.
 
Lea mtoto acha kukufuru..kuna watu Wana miaka dahari wanahangaika kupata mtoto...mwenzi wako Bora usimweleze Sasa anaweza geuka mjumbe ghafla
Mojawapo ya watu wapumbavu kabisa hapa duniani ni aina ya mleta mada.

Suala la kuzaa siyo AJALI wala BAHATI MBAYA.

Ni process.

Sasa kama mtu kakomaa, kuanzia kutamaniana, kutongozana mpaka kuwekeana miadi. Na kama hiyo halitoshi ukacheza peku halafu ulitegemea matokeo yawe JIWE ?

Aisee.

Unafanya upuuzi mwenyewe then unalaumu kuwa mzaliwa wa kwanza. WTF!

Nilivyosoma heading, nilidhani anataka kuzungumzia kutwishwa mzigo wa majukumu na wazazi.

Kumbe Use.nge tu.
 

Hahahaha mie mwenyew nikajua songombingo za mzaliwa wa kwanza...ni mtoto anaonekana bado
 
Ahsante.
Aache ussenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…