Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Kwahiyo ikashakomaa utaweza?
Hata kama si kweli???Mkal now mweleze ukweli, mwombe msamaha. Text him siku nzima omba msamaha bila kuchoka and remind him wampenda yewe tu na hujawah kumsaliti. That it was a joke ila ulipitiwa bht mby. Pole mamii.
Wanaume wako wengi, akikuzingua tafuta mjanja ale nafasi yake.
af mwanaume gani anazira huyoooo!
aaargh!
mi ngekufata huko huko na mzungu wa nne wako!(nione utanuna mpk sa ngapi)
Haahaahaa! Kuna vidume vingine utani haviwezi kabisaaaa! Hapo anajifanya kukasirika ili mradi tu amepata upenyo wa kakigudulia kake huko nje! Loh! Ndo basi teena ushampa tiketi ! Hapo two things envolve either akirudishe kimelegea ama arudi kesho kikiwa erecting! Haahaahaahaahaa! Usirudie tena!
Tabia gani unamfundisha mwenzio????
Nimemtext weee hatimaye kanizimia na simu alikuwa na yake tu... Namsubiria aje liwalo na liwe...
simu imeishiwa chajiiNimemtext weee hatimaye kanizimia na simu alikuwa na yake tu... Namsubiria aje liwalo na liwe...
Wenzangu mzaha umeniletea balaa ndani ya ndoa... Jana tulikuwa tupo kwenye utani mwepesi si nikajifanya nimezira mwenzangu! Nikamwambia baba watoto leo hamna kitu tunalala mzungu wa nne... Si nikajifanya kugeukia upande mwengine kweli tukawa tumelala mzungu wa nne lakini lengo langu lilikuwa kumtania tu nizuge kama dk. 5 nirudi kama kawaida... Mwenzangu si nikapitiwa na usingizi! Kutahamaki nimestuka saa kumi na mbili... Hapa ndani pametibuka tifu la hatari anasema nilitoka kwa bwana ndo mana nimemfanyia hivyo na kazira ameoga ameondoka... Nifanyeje wenzangu amiamini kuwa ulikuwa mzaha tu sikuwa nimedhamiria.
Nilijiua tu utakuja hapa JF kuomba ushauriiiii!! sasa kwa taarifa yako nimechukia haswa!!!:embarrassed1: