Mzaha katika uandishi wa habari Bongo

Bosi Michembe

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
271
87
Wakuu nimekutana na hili gazeti Superstar ingawa la muda kidogo (20 April 2012) na moja kati ya habari picha yao imenivunja mbavu nikaona si vibaya kuShare nanyi.


gazeti.jpg

Soma maelezo ya picha kwa makini. Sasa sijui tunakuwa na haraka sana au hakuna editor au ndiyo tumejizoesha kudownload habari za nje mpaka tunajisahau.
 
Mkuu hiyo inaitwa meeting the deadline. Presha tupu hapo.Ni gazeti gani hilo? Vituko lakini huruma.
 
hahahahaha, nimecheka balaaaaaaa, yaani kitu saidi fella..uhuuuuuuuuuuuuu...inatia huruma japo
 
Back
Top Bottom