Foreign key ndiyo inayoleta relationship kati ya table, ambapo primary key ya table ya kwanza inakua referenced katika table ya pili kupitia hiyo foreign key, na Kuna aina nyingi za relationship (one to one, one to many, many to many etc) ambapo hata utengenezaji wa it foreign key unategemea aina ya relationship unayoitaka.....ila endelea kujifunza tutorial zipo online