I Imeloa JF-Expert Member Jan 28, 2013 12,917 15,348 Jan 21, 2020 #101 Missile of the Nation said: Hii inafikirisha zaidi kwa sababu kama Hajira ni mmisri, na Misri ni Africa kuna uwezekano alikuwa ni black. Kwa hiyo kina Ishmael huenda walikuwa watu weusi Click to expand... Hii sio kweli ni nadharia tu tena wanaoi-propagate mara nyingi ni waislam, bila shaka wewe ni moja wao.
Missile of the Nation said: Hii inafikirisha zaidi kwa sababu kama Hajira ni mmisri, na Misri ni Africa kuna uwezekano alikuwa ni black. Kwa hiyo kina Ishmael huenda walikuwa watu weusi Click to expand... Hii sio kweli ni nadharia tu tena wanaoi-propagate mara nyingi ni waislam, bila shaka wewe ni moja wao.
Elungata JF-Expert Member Jan 28, 2011 40,205 33,224 Jan 21, 2020 #102 Nyanjomigire said: Hii sio kweli ni nadharia tu tena wanaoi-propagate mara nyingi ni waislam, bila shaka wewe ni moja wao. Click to expand... Soma history ya cush empire na jinsi walivyojitanua mpaka caanan
Nyanjomigire said: Hii sio kweli ni nadharia tu tena wanaoi-propagate mara nyingi ni waislam, bila shaka wewe ni moja wao. Click to expand... Soma history ya cush empire na jinsi walivyojitanua mpaka caanan
M Missile of the Nation JF-Expert Member May 24, 2018 13,505 51,111 Jan 21, 2020 Thread starter #103 Nyanjomigire said: Hii sio kweli ni nadharia tu tena wanaoi-propagate mara nyingi ni waislam, bila shaka wewe ni moja wao. Click to expand... Waislamu wanapatikana katika kila rangi na race, Je na Waislamu wazungu au wachina wanapropagate hilo?
Nyanjomigire said: Hii sio kweli ni nadharia tu tena wanaoi-propagate mara nyingi ni waislam, bila shaka wewe ni moja wao. Click to expand... Waislamu wanapatikana katika kila rangi na race, Je na Waislamu wazungu au wachina wanapropagate hilo?
I Imeloa JF-Expert Member Jan 28, 2013 12,917 15,348 Jan 23, 2020 #104 Missile of the Nation said: Waislamu wanapatikana katika kila rangi na race, Je na Waislamu wazungu au wachina wanapropagate hilo? Click to expand... Ni nyie wa Mtoni kwa Aziz Ali.
Missile of the Nation said: Waislamu wanapatikana katika kila rangi na race, Je na Waislamu wazungu au wachina wanapropagate hilo? Click to expand... Ni nyie wa Mtoni kwa Aziz Ali.
fidel castro wapili JF-Expert Member Mar 18, 2017 3,326 2,728 Jan 23, 2020 #105 Ok Red Giant said: Kuhusu wamisri wa kale kuwa weusi hilo sina shaka nalo kabisa. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Ok Red Giant said: Kuhusu wamisri wa kale kuwa weusi hilo sina shaka nalo kabisa. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Avriel JF-Expert Member Jun 25, 2017 4,947 5,342 Jan 23, 2020 #106 Hivi Musa hajawahi kufika huku Hungumalwa Kwimba? Hebu chimbueni chimbueni inawezekana kuna ndugu zake wanyantuzu na wanyang'hweri huku sukumaland.... Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Musa hajawahi kufika huku Hungumalwa Kwimba? Hebu chimbueni chimbueni inawezekana kuna ndugu zake wanyantuzu na wanyang'hweri huku sukumaland.... Sent using Jamii Forums mobile app