Myahudi adai Musa amewahi kufika Makka na Madina

Ha ha ha! Naona wanajitahidi kweli ku-justify uwepo wa "dini" katika Maandiko Matakatifu ya Bwana Mungu wa Majeshi. Mara ooh kila kiumbe kwa asili ni dini ile, mara nabii wa kufanana na Musa ni nabii yule! Mungu wa Yakobo halishwi maneno na Agano lake amelisuka imara kweli kweli; Lucifer mwenyewe limemtoa knock-out kucheza nalo ndio itakuwa ninyi vibaraka wa Lucifer? Fuateni yenu acheni ujinga.
Hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani jua linamfanya mtu kuwa mweusi!! Kwa hiyo mzungu anayezaliwa Afrika akaishi hapa anageuka rangi na kuwa mweusi.!

Mbona makaburu au wale Zimbabwean Settlers hawajabadilika rangi na kuwa weusi?? Mue serious wakati wa kujadili issues na sio kuleta porojo za vijiweni.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ha ha ha! Naona wanajitahidi kweli ku-justify uwepo wa "dini" katika Maandiko Matakatifu ya Bwana Mungu wa Majeshi. Mara ooh kila kiumbe kwa asili ni dini ile, mara nabii wa kufanana na Musa ni nabii yule! Mungu wa Yakobo halishwi maneno na Agano lake amelisuka imara kweli kweli; Lucifer mwenyewe limemtoa knock-out kucheza nalo ndio itakuwa ninyi vibaraka wa Lucifer? Fuateni yenu acheni ujinga.
Sijui kwa nini huwa wanahangaika sana, kitabu chao hakijitoshelezi hadi waitumie Biblia na ukiwaambia wamepotea wanakutangazia jihad.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wayahudi hawatumii biblia ya WAKRISTO AMBAYO IMEPOTOSHWA KWA AIDHA KUBAMBIKIZA MANENO AU KUTAFSIRI SIVYO NDIO AYA NYINGI NI FAKE NDANI YA BIBLIA YA AGANO LA KALE LA WAKRISTO BALI LA KIYAHUDI KUNA TAFAUTI KUBWA
Hiyo Bible ya wayahudi wewe unayo?
Hivi unafikiri Mitume 12 walikuwa Ni wazungu? Acha kuupotosha ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom