My World Without Women!

NiPM hahahahahahah kwa mara ya kwanza nimeomba PM ya mwanaume duuu you must be lucky one!

Hehehehe alafu zingatia na kale kaugonjwa ka kujiexpress huko zenj najua ni ruksa.
 
Nawapenda wanawake jamani si mchezo hasa wale wenye mapenzi mema, wenye kumwogopa Mungu, wenye staha yaani acha.....labda ndo sababu .......

afadhali, haya tulia na wako sasa
 
NiPM hahahahahahah kwa mara ya kwanza nimeomba PM ya mwanaume duuu you must be lucky one!

Awe makini tuu si watokea malindi weye,leo disco limeingia mmasai.Kweli kaka hawa watu unawajua vizuri,yaani wote wako kimya na mbaya zaidi wanakusifu kwa nyimbo na mapambio na thanks kibao.Shemeji angekuwa mmbeya,ningesema umeokoka.
 
Nimetulizana ila nawapenda wanawake wote wote wenye mioyo ya Nyama!

Huyu Mzenj noma,kakubadilisha moyo uanze kuwapenda wanawake.Juzijuzi tu hapa ulikuwa unawaponda(eti wanakunywa mibia hadi wanajisaidia barabarani)
 
Huyu Mzenj noma,kakubadilisha moyo uanze kuwapenda wanawake.Juzijuzi tu hapa ulikuwa unawaponda(eti wanakunywa mibia hadi wanajisaidia barabarani)

I am afraid hujanifahamu, napenda wadada wanajiheshimu, si wale walevi wala machangu, wanaofanya abortion, wakatili etc...hapo juu nimeandika wadada wenye mapenzi na mioyo ya nyama!
 
Huyu Mzenj noma,kakubadilisha moyo uanze kuwapenda wanawake.Juzijuzi tu hapa ulikuwa unawaponda(eti wanakunywa mibia hadi wanajisaidia barabarani)

Kaka wanaanza kushtuka,tupa shairi lingine mwana kabla hawajikusanya kukurudi.
 
Ladies are like candles in darkness

I will give my life in defending women against men brutalities
 
I am afraid hujanifahamu, napenda wadada wanajiheshimu, si wale walevi wala machangu, wanaofanya abortion, wakatili etc...hapo juu nimeandika wadada wenye mapenzi na mioyo ya nyama!

Haya Bana,mwaka huu ni wako naona umepania kweli.Jimbo utalipata tu.Wanawake wote tutakupigia kura.By the way,Unataka jimbo lipi? kyela? we usiogope tutakuunga mkono,jitangaze mapema tu.
 
Thank you!!!🙂
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…