Kagombee ubunge ARUMERU,maana unauwezo wa kupangilia sera!Wakuu,
jana baada ya kurud job mida ya saa kumi na moja jion hv,naingia home na kumkuta wife kajaa tele akifanya kazi za hapa na pale (yeye huwahi kurudi home kutokana na nature ya kazi yake).
Kwenye saa moja hv nikapata miadi na mtu Maeneo ya Kurasini karibu na niapoishi, nikatoka one time n akumuaga wife kuwa i will be back baada ya nusu saa.
nikaamua kuacha one of my phone na nikamwambia wife kuwa naacha simu yangu (Si najiamin bwana vimeo Nooo).
Baada ya kurudi kama kawaida wife akanikaribisha na makiss ya hapa na pale.
Kuchek simu niliyoikuta,nikakuta missed call kama 8 hv za number nisioijua, nikamuuliza wife akajibu ilipigwa muda mrefu na yeye hakuona ni vyema kuipokea (?).
Nikaamua ku call back, akapokea mwana Mama ambaye akabisha kuwa haijui namba yangu na wala haja call, nikamwambia "To hell, Goodnite".
Wife alikuwa anafua bafuni, akajakuniuliza, "Kasemaje huyo mtu?"nikamjibu kama nilivyojibiwa.
wakati tunalala wife ndo akanipa yaliyotokea.
"Nikwambie Mumu wangu, ile simu niilipokea na Mazungumzo yakawa kama ifuatavyo"
Caller (Mwana Mama):"Haloo"
Wife:"Haloo, habari yako"
Caller:"Naweza kuongea na Baba Shamila"?"
Wife:akiwa na mstuko na kujilaumu kwa nini alipokea ile simu maana imemuharibia siku yake "Jina lingine nani,maana hapa hakuna mtu mwenye jina hilo" huku akiomba asije akasikia jina "jingine ni Bramo"
Caller: "Jina jingine Shabani" huku akiachia msonyo mkaaaaaali
wife:akishusha pumzi eeeeifff "Hakuna mtu kama huyo"
Kilichofuata hapo ni Matusi kutoka kwa caller, ila wife akaelewa tu kuwa ile ilikuwa ni wrong Number na kuchukulia poa matusi yote aliyotukanwa.
Namshukuru my wife for her quick understanding maaana wangekuwa wengine sijui ingekuejw.
alipomaliza nikamvutia kwangu, Nikampa "machejo" ya hatar hatar mpaka kunakucha.
ukiona hivyo, una reputation nzuri kwa mkeo.
Hongera, keep it up!
Wakuu,

kwenye red hapo,Mkuu are yu siriaz au una brag a la Ashadii?alipomaliza nikamvutia kwangu, Nikampa "machejo" ya hatar hatar mpaka kunakucha.
Ahsante Mkuu,ila suala la nn unefanya na mkeo kitandani,liko wazi ila tu tunatofautiana kila mmoja na style zake tough nyingi zinafungana.Hongera sana kwa kupata mke anaye fahamu, sasa kumbuka kitu kimoja....wanaume huwa hawatoi siri zao wamefanya nini kitandani na wake zao....watoa siri huwa wana kasoro flani, wewe jichunguze tu lazima una kasoro flani :cool2: