Mkuu, nashukuru sana kaka.Mungu akubariki na kukuzidishia uzao wako mkuu.
Hongera sana ndugu yangu
Mkuu nashukuru na nimeongera sana, salamu zimefika na kwa niaba yake na watoto nasema shukran sana sana.Hongera sana Mkuu.
Salaam nyingi kwa Shemeji na Watoto.
Ahsante kaka.Congratulation Mkuu.
Shukran mkuu.hongera sana
Mkuu Lau, shukran mkuu, wala usiwe na wasiwasi ndoa tamu bana asikwambie mtu.Kaka hongera sana nami najifunza kitu hapa kutoka kwako pindi niingiapo nami iwe zaidi na zaidi ,Mungu aendelee kuwabariki kwa dhati kabisa
Nashukuru Zinduna, ah ah ah ah, wivu wa nini Zinduna... Shemeji ajambo lakini?Hongera kaka, namuonea wivu kweli mkeo ..... lol
Thanx Mkuu... Mkuu you are still Loading...!?What a MAN on Earth. Big kiss
Shukran ndugu....hongera sana mkuu
Ahsante Mmdenyi, pamoja sana.Heri yako wewe uliye na shukrani za dhati kwa mkeo,
na MUNGU awabariki sana.
Mkuu Kaunga ni kweli maneno yako, na hii si kwenye maisha binafsi tu hata uko kwenye siasa na politiki.Wengi wangeleta positive side nyingi za ndoa ingesaidia vijana wasiogope ndoa!
Hongera sana Paster na my wife wako!
Mwali siri si ndio hizo nimezimwaga hapo juu.hongera sana, tutoboleeni siri la mapenzi ya kudumu na sisi tujenge.
Nashukuru sister, ahsante sana.Hongereni, na mzidi kubarikiwa
Mkuu, ni 12 years12 yrs of my MARRIED??????
Mkuu unadeni la wake 3.
Nashukuru sana mkuu, karibu sana kwenye ulimwengu wa raha na majukumu.Hongera sana Mkuu, Mungu awaongoza katika yote mnayofanya. Aidha, shukrani kwa kutushirikisha nasi ambao tunatarajia kuingia huko ili tufahamu jinsi ya kuishi katika ulimwengu huo.
Ahsante mkuu.hongera sana mkuu
Ah ah ah, Bishangaaaaa...! Hapo ndio nimefupisha kwa 95% Ningeandika yote ni sawa na kitabu chenye kurasa elfu kadhaa.X bana,umeongea saaaaaaaaaaaaaaana,
vipi ushawahi ku cheat?? iwe kwa mawazo,maneno au kwa matendo? if yes,vipi mai waif wako alikubamba? ilikuwaje?
Shukran Pretty, nawe nakutakia kila la kheri kwenye maisha yako/yenu...........hongera sana, Mungu awajalie uhai mfikishe miaka 50 ya ndoa pamoja.
Kwa nihaba yake nami nachukuwa nafasi kupokea pongezi kutoka kwako, pili napokea kwa furaha pongezi ulizotoa kwetu sote wawili...Pongezi zangu za kwanza zimfikie mwanamke mwenzangu kwa kupata mume anaemjali na kumthamini. Pili, nawapongeza nyote kwa kuweza kuitunza ndoa yenu! Mwenyezi Mungu awajaalie salama, mzidi kuimarika zaidi! Be blessed dears........
Nashukuru neggirl, kuna mambo mengi mazuri na matamu kwenye ulimwengu wa ndoa, na haswa mkiwa wote ni wenye kujaliana na kuaminiana. Na kubwa zaidi ni kuangalia yale ambayo si mazuri kumtendea mwenzio... Kwenye ndoa msiporekebisha vijimambo vidogo vidogo mwishowe uja yakawa makubwa kiasi mkashindwa kujua nini chanzo, wakati chanzo ni nyinyi wenyewe kuanza kuchokana kwa vitabia ambavyo hata mkiambiwa kuvieleza mnashindwa wapi pa kuanzia.Hongera sana X-PASTER. Keep it up na Mungu awatangulie. Bora leo tumepata MATAMU ya ndoa, maana watu huwa wanaleta yale machungu tu ambayo ni magumu kumeza.... Kiasi kwamba walio nje wanaogopa kuingia.
Nami nashukuru sana, nawe Mwenyezi Mungu akujaalie amani, utulivu, furaha na upendo kwenye maisha yako.Hongera sana.Mwenyezi Mungu awajaalie miaka yenye amani na furaha tele!
Ahasante sana Kikahe.Hongereni sana. Nawatakia kila la heri
Shukrani Lizzy, nami nakutakia furaha, mapenzi ya kweli na utuliv kwenye maisha yako.Hongereni sana...
Mungu aibariki ndoa yenu msherehekee miaka mingine mingi pamoja!!
Shukrani Gaga, ni kweli miaka 12 ni mi mingi na si mingi pia, maana wazee wetu walikuwa wakiishi zaidi ya miaka 40 kama si 50 na kuendelea na ndoa zao zilikuwa ni za kupangiwa na wazazi wao, si kama hizi zetu za kuchuwana kwanza kwa kisingizio cha kuzoeana, na kisha baada ya miaka michache kama si miezi kadhaa kwenye ndoa, kila mtu anaamua kuangalia ustaarabu wake...!Hongera sana miaka 12 sio mchezo aisee...Mungu azidi kuwapigania....Happy anniversary
Ah ah ah ah, Ahsante sana... unajuwa tunaambwa ukipata baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu basi tuzitangaze kwa kushukuru na kutoacha kufanya maombi na sala ili kupata ulinzi wake, maana dunia hii ya sasa kama vile tupo kwenye pori lenye wanyama wa kila aina.Hakika una kila haki ya kuturingia kwa kuwa mke wako hukumpata kwa akili zako ila ulipewa na Bwana ,naamini Mungu alikupa mwenzi wa kufanana naye na ndio maana ktk ups na down mmekuwa pamoja,Nakufurahia na Mungu wetu azidi kuilinda na kuibariki familia na ndoa yako .
Ahsante sana Mkuu Henge, nawe pia ndugu yangu.mkuuuu hongera mnooo MUNGU AWAJALIE MAMBO MAKUU ZAIDI!