My tips to hon. Mwakyembe on TPA operations

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
786
Mh Mwakyembe,
Mimi ni mfanyabiashara ninaefanya kazi kwa karibu sana na bandari ya Dar. Kama mdau naomba kutoa tip kazi kw ajili ya kuboresha operation za bandari yetu ili kuongeza mapato zaidi. Kuna mambo ambayo ni long term na mengine ni short term.

1. Kuongeza gats - Kwa sasa gats zenye uwezo wa kupark meli zenye mzigo mkubwa ni 2 tu yani namba 5 na7. Hii inasababisha msongamano mkubwa wa meli. Mfano kuna meli ya Bakhresa ya ngano inayoendelea kupakuwa imekaa mwezi ikisubiri meli za ma container kupakuwa. Pia kuna meli ya Clinker ya Rhino cement ambayo imekaa for almost 3 weeks. Hili nila kitaalamu sana hivyo nakushauri utumie wataalamu wako muangalie ni jinsi gani gats zinaweza kuwa za kutosha kuboresha operation zetu.

2. Weigh bridge - Watu wa Tan-Road huwa wanakaa njiani kuvizia watu waliozidisha mizigo na kuwakamata na kuwapiga fine. Hivi kwa nini kusiwe na watu wa mizani pale pale kwenye weigb bridge ya Bandari na kukagua magari yenye mzigo mkubwa kuyapunguza hapo hapo yasitoke kwenda kuharibu barabara zetu. Sidhani kama lengo ni kukusanya hela za fine nadhani lengo ni kuzuia barabara zisiharibike.

3. Mizani - Bandari ina mizani 2 na kwasasa moja imekufa. Cha ajabu kuna mzigo wa Rhino Cement unapakuliwa na unatoka bandarini bila kupimwa kinyume chake unaenda kupimwa kiwandani kwenye mizani ya mteja!!!! Yani maana yake ni kama unaenda kununua nyama halafu unaenda na mizani yako then muuzaji ana kucharge basing on your scale. Inawezekana kabisa mizani ya Rhino ikawa saaaaafi lakini kuna myanya
 
...
==> NOTHING NEW HERE.....☆☆

>>> Having weigh brigde at the Harbour haisaidii WAHUNI WENGI....MOST TRANSPORTERS hata ktk mizani still wanafanya uploading & offloading ya mizingo say kuanzia 1 ton or 2 hiv... then inapirishwa kwa
pembeni kwa canter then lorry likifika mbele kidogo ya mezani WANA PAKIA.....

==> So most transporters wahuni... DAWA NI SHERIA KUWA KALI.... period....

==> Kuhusu gats HILO SIO KITU KIPYA NA UNAJUA KIPI KINAENDELEA KUHUSU upanuzi na ujenzi wa gats,
contracts was a problem & obstacle....

==> Any questions/ suggestions GO panda DALADALA..TO THE MINISTRY....TANCOT
HOUSE...utarudishiwa nauli...gday....keleleee kuleeee....!!!

Rais mkali huyo, ila una hoja na wewe

THIS IS WHAT YOU HAVE COMMENTED
1. Nothing new hear
2. Transporters wahuni
3. Gats siyo kitu kipya unajuwa kinachoendelea
4. Panda dala dala mpaka TATCOT utarudishiwa nauli.

Yani majibu mepesi mepesi utafikiri mtoto wa chekechea na inaonekana ni mtu unaeelewa kabisa hii sector - SHAME. Ninacho ona hapa wewe hakuna linalokusumbua akili hapa.
 
Kweli ni wazo zuri japo wapo wanaoleta utani kwenye yale ya msingi. Tanzania hatuna tatizo la sheria kuwa sio kali au la..tatizo kubwa tulilonalo watanzania ni mfumo mbovu wa uendeshaji nchi. Hakuna ufuatiliaji wa sheria kutumika kwa maslahi ya kisheria na nchi. Ukimpeleka mahakamani mhalifu wa uharibifu barabara hata kama unaoushahidi atatoa rushwa ama atahukumiwa na wanansiasa kupitia hakimu ama jaji. Hawa watu wa mahakama hawana la kusema juu ya vigogo wa chama tawala. Hivyo basi nao wanaamua tu kula rushwa wasikose kabisa. Bandari itanyooka na kutengamaa kama kwa kweli sheria itakuwa huru kutoka kwenye mfumo huu uliooza wa nchi
 
Back
Top Bottom