Falcon
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 245
- 68
Nilipangiwa kuwa ni zamu yangu mwisho wa wiki hii, kwa bahati mwenye mali kaweka vikwazo,nimeambukia maneno haya My temperature is rising
but we cant, I know .....not this week ,I love him as much as I love you . (kweli nguo ya kuazima haistiri uchi) ilikuwa nimfuate Dar akitokea ukabilani kwao nimvukishe maji ya chumvi kwa mara ya kwanza.