My Story..

Duuuh...kuna jambo moja ww ni msomi nadhani uligundua ukikaa mbali na kwenu maisha ya nakaa sawa tu..kwa nn usifanye hvyooo?? Kaa mbali na kwenu tafuta kazi mlee mwanao kingine

Acha tabia ya kunuacha mwanao pale kwenu
Elewa Baba ako na Mama ni Wachawi

Japo walikusomesha wao wenywe,tafuta bwana baada ya kupata kazi mchukue mwanao maisha yaanze upya kingine umezaliwa kweny ukiristo
What if ukapata bwna wa kiislam upo tyr kuolewa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa stori yako, Mungu aendelee kukuponya na kutunza.

Soma maneno ya Yesu hapa kwenye kitabu cha ‭Mathayo‬ ‭11:28‭-‬30‬ ‭
‬‬
[28] Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

[29] Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
 
Naomba nikufanyiw MSE kidogo maana nimesoma storry zijaelewa kabisa naona kuna umuhimu wa MSE
Nimeficha baadhi ya vipande Kwa sababu maaalumu..
Ahsante Kwa kuonesha nia ya kutaka kunisaidia.ila nimehadithia yaliyo moyoni.Kumbuka wengi hatuna watu wa kuwahadithia hasa mambo yahusuyo familia.Kitu kinachoitwa mtandao ni kikubwa..Angalia story zote za humu za haya mambo kama zinaishia mwisho!!
 
Back
Top Bottom