CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Nimekukumbuka my shemeji wangu yani nimelala mekuota umenimis mnoo nkaenda kwa maalimu nikisaidiwa na my ex Judgement kaka yako basi akatafasiri ndoto yangu akasema Naam ni ukweli shemejio kakukosa(miss) na kukukumbuka. Basi kama kawaida ta mie huyu Beibe Nasty sina hiyana mie nkasema hata lazma nikutafute shem wa ubani.....jamani afu msalimu na Black Woman n Arusha One.
NB. Erick B52 ni shemeji tuuu hakuna kuzima taa hapa....
Mbona na dada mwenyewe anatamani na huwa anaenjoy ninapomnanii? Lady doctor come this way upate raha za weekend coz leo Chocs anaenda kumsalimia Kipipi
Hahahahaaa nimepewa kalikizo kidogo aisee watu8
Hebu mwambie binti yako charminglady namtafuta sana aisee aje nimpe zawadi yake
Shost upo??? Mekukosa pia...
Hata wao huanza hivihivi..
Chocs, nilishakwambia huyu jamaa Erickb52 hakufai, huyu shemeji yake wanaweza kuwa wanazima taa, fanya researchNimekukumbuka my shemeji wangu yani nimelala mekuota umenimis mnoo nkaenda kwa maalimu nikisaidiwa na my ex Judgement kaka yako basi akatafasiri ndoto yangu akasema Naam ni ukweli shemejio kakukosa(miss) na kukukumbuka. Basi kama kawaida ta mie huyu Beibe Nasty sina hiyana mie nkasema hata lazma nikutafute shem wa ubani.....jamani afu msalimu na Black Woman n Arusha One.
NB. Erick B52 ni shemeji tuuu hakuna kuzima taa hapa....
Kaka mentor vipi kwan we si unahusika hapa ama unataka nisaliti nduguyo. Afu leo njoo
Kaka mentor vipi kwan we si unahusika hapa ama unataka nisaliti nduguyo. Afu leo njoo
Leo kuna mechi hata wifi yako akiniita siji!!!🙂
mmmmmhhh hawa walianza kitambo sanaaaaaaaaaa
Aje kufanya nini
hahahahaha kwanini wewe uko available?Wala usilete umbea hapa we sema wemwenyewe wataka Chocs na My shem waachane unaloo hilo tumekushtukia..inahu mi kuzima taa kaoge Mokoyo..