Huu upuuzi wa ma boss kupenda ma secretary wao unanikera sana.Hakika sitokubali mume wangu awe na secretary wa kike.
Huu upuuzi wa ma boss kupenda ma secretary wao unanikera sana.Hakika sitokubali mume wangu awe na secretary wa kike.
Kama unaifanania avatar yako japo kwa 40% hope akikuajiri hata wewe poa... Utani ila hawa wanakuwa na kazi maalum kwa wateja kama siyo mabosi wenyewe... si unajua mambo ya bungeni viti maalum??????????????
Hongera kwa hilo.. kuhusu kazi maalum basi ni bora umwache mmeo ajitafutie PS wake mwenye vigezo vya kiPS ili wateja waje kwa wingi na pia the vise verse kwa mmeo.... Kuhusu kazi maalum ni kazi gani, tafadhali jaribu kuwasiliana na viti maalum mmoja ili akutohoe mawazo.Ni zaidi ya hiyo avatar. ..lol
Kazi hiyo maalum kazi gani ambayo mwanaume hawezi kuimudu?
Sitaki na sitokubali.
Huu upuuzi wa ma boss kupenda ma secretary wao unanikera sana.Hakika sitokubali mume wangu awe na secretary wa kike.
Hongera kwa hilo.. kuhusu kazi maalum basi ni bora umwache mmeo ajitafutie PS wake mwenye vigezo vya kiPS ili wateja waje kwa wingi na pia the vise verse kwa mmeo.... Kuhusu kazi maalum ni kazi gani, tafadhali jaribu kuwasiliana na viti maalum mmoja ili akutohoe mawazo.