Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,371
Huyu mkulima alivyoambiwa you are very nice and u are my surpport baaaas yeye kwa akili yake akajua anapendwa ili kugegeda??!! stupid mentality
Hahahaaa!Kuna wakati mwingine mtu unaamua ku appreciate mchango wa mtu katika maisha yako naona jamaa akaona bint keshakolea tayari. ..lol
Umenichekesha sana.