My Open Letter to Mr Mango

My Open Letter to Mr Mango

Else, wewe ndiye Mango.

Mimi sio Mango, lakini kwa vile amemuandikia Mango hiyo barua kupitia janvini bila shaka alitaka na sie wana janvi tuelewe ujumbe aliokuwa anampelekea!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Correction: Spymaster = head of a ring of spies eg a director of intelligence. Never had Membe held such a position.

Halafu si ungeandika kwa Kiswahili tu badala ya kuchapia lugha ya watu?

Hapo mwanzo nilimpuuza Mange Kimambi alipokuita kichaa, sasa kwa jinsi unavyobehave recently may be yuko sahihi!. Brother you are out of your mind!
 
Usimuandame sana. Ameeleweka na naamini ndio lengo lake.....
Correction: Spymaster = head of a ring of spies eg a director of intelligence. Never had Membe held such a position.

Halafu si ungeandika kwa Kiswahili tu badala ya kuchapia lugha ya watu?
 
It seems like sasa hivi kambi ya Jiwe inanunua tu kila sauti yenye mwangwi wa kuwakera
Kanunuliwa Mtatir, Mange, Huyu Jasusi Uchwara, Tumbili na wengine kibao in the name of kuunga mkono juhudi.

Tatizo la watu kama huyu jasusi uchwara anadhani sasa ana obligation ya kulipa deni la kununuliwa ndiyo maana anaanzisha mada za kumsifu jiwe kiana mara oh atashinda uchaguzi, mara sijui kimeenda kimerudi!. Acha ubwege wewe kula hizo hela utulie, kwanza umeshaharibu sana na ukiingia kwenye 18 zao lazima wakunyooshe!
 
Afanye kama Mange alivyofanya. Na nishamwambia kwenye swala la Ujasusi huwezi kusaliti watu halafu baadae ukarudi tena kufanya kazi nao watu wale wale kisa tuu Rais aliepo madarakani kakununua umfanyie propaganda mitandaoni,kazi ikiisha wanakula kichwa.
 
Back
Top Bottom