Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,040
- 2,688
Niwie radhi kwa ujinga wangu pia nkupongeze kwa uwereve wako wa kuona mnagombana na familia yako unamchukua ex WA mke / Mme wako aje akushauri matatzo yako!hivi ujinga huwa ni mazingira ama wa kurithi ...
kwa kua sehemu nyingine mauaji yanafanyika na Tz yakifanyika basi ni sawa
mbona wengine wanaomba waombewe kwa nini tusiwaombee kifo kwa kuwa sehemu nyingine pia wanakufa
acha ujinga, ushoga ni mbaya na hatuungi mkono ila maazimio mengine yote tunayaunga mkono.
Asante kwa kushiriki!!Humu unamtetea ila ukikaa kwenye vijiwe vya kahawa na wenzako una mtetea, huu ni unafiki wa ngazi ya PHD.
''Wazungu wanasema better the Devil you know, than the Angel you dont know''
Thank youRubbish
Sihitaji Asante yako kampe mke wakoAsante kwa kushiriki!!
Kwamba ni bora kuua binadamu wenzie sio?yaan hii ni logic nzur san kukatisha huu uzi wakipumbavu kiukweli mm sio mwanasiasa na kuna mambo simuungi mkono magufuri kwa asilimia zote lakin kwa hili nasema tena kwa hilii nipo nae na ww bega kwa bega
Nakurudia tena,onyesha hapa tusi nililomtukana shigongo,halafu mwombe Mungu akupe hekima ya kutambua mema na mabaya,kwa sababu nimezungumzia mabaya ya Magufuli umekwepa kujibu hoja,hao waliouawa na kutekwa ni mbuzi?Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????
Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???
Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui
Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????
Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????
Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!
Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????
Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????
Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!
VivaShigongovivamagufulivivatanzania
iyo utajua wewe ila upuuzi wa kutetea mauji ya wengine kwa kua eti nchi nyingine wanauna pia ni ujinga.Niwie radhi kwa ujinga wangu pia nkupongeze kwa uwereve wako wa kuona mnagombana na familia yako unamchukua ex WA mke / Mme wako aje akushauri matatzo yako!
Kama ulivyoujinga kutetea mataifa ya nje yaje yakusaidie matatizo yako ya ndani huo ni ujinga teeena ujinga wa hali ya juuiyo utajua wewe ila upuuzi wa kutetea mauji ya wengine kwa kua eti nchi nyingine wanauna pia ni ujinga.
Hivi akili zenu mnadhani hawa watu wanawapenda ninyi? Demokrasia gani waliwawekea watu wa Iraq Libya na Afghanistan? Waulizeni wazimbabwe na Morgan aliwafikisha wapi. Msishabikie vitu vyabkipuuzi. Nimeishi na hawa wanyama miongo miwili hawana thamani na sisi hata kidogo. Wapatieni nafasi wawavuruge muishi kama wanyama.Kama umemsoma vizuri mleta mada amegusia vipengele viwili, usalama wa raia (matukio tisa) na gesi kukwapuliwa na China. Swali la kujiuliza ni je, hayo yote aliyo yataja mleta mada ni kweli yali/yanatendeka na serikali imenyamaza kimya? Kama serikali imenyamaza kimya, Shigongo amewahi kuandika walaka wa kuguswa na kuishauri serikali kwa matukio hayo?
Nchi ni ya kwetu sote, tukosoane kwa staha. Wote tuna ipigania Tanzania. Samahani kama nitakuwa nimetumia lugha ya kukwaza.
Angetaka wasiyoyapenda maoni yake wakae kimya angebakia nayo moyoni mwake otherwise kuyaweka kwenye magazeti yake ana-invite criticism au support.Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????
VivaShigongovivamagufulivivatanzania
Unajuaje akipewa madaraka atafanya ya ovyo?Unategemea kwa mindset kama hizi Tanzania tutaendelea?????
Tunakosoa wenzetu tu ila hata ww ukipewa madarka utafanya ya hovyo kbsa!!!
Huoni line of argument zakeUnajuaje akipewa madaraka atafanya ya ovyo?
Sihitaji Asante yako kampe mke wako
Sihitaji Asante yako kampe mke wako
Wenzio wameshageuka kaka umebaki peke yako na kina Jingalao.Bado niko sahihi nmewakilisha watz waliompgia kura Plus wanomuunga mkono nikiwemo mie so bado plurality yangu iko valid