ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,060
- 49,744
Hapo hapo mkuu afu haziitwi za kipagani ila za kimilaNa kwa sisi wa ndoa za kipagani tunacomment wapi?
Kudumu kwa ndoa kunawezekana hata za kikristo. Its down to wahusika wenyewe waliridhiana vip kuish pamojaHabari wadau wa jukwaa pendwa
Uchunguzi nilioufanga kuhusu ndoa nimebaini kwamba ndoa za Mitala za kiislam yaani za mke zaidi ya mmja zinadumu na zinafuraha kuliko ndoa za kikristo za mume mja na mke mke mja
Kwenye kuachana,migogoro na kukosa furaha ndoa za kikristo zimezidi licha ya kwamba huwa zinafungwa kwa mbwembwe na gharama kubwa
Nimegundua labda ni kutokana na kwamba dini ya kiislamu inazingatia zaidi tamaduni za kiafrika ya mke zaidi ya mmja na pia imekaza kumpa mwanamke uhuru uchwara kama ilivyo kwa ndoa za kikristo ambapo zinaiga tamaduni za kimagharibi.Karibuni kwa maoni na mjadala
Mwanamme na mke mmoja kwani wewe njiwa?Hizo za kiislam si kuwa hazina changamoto, lakin kama muoaji alioa kwa kufuata utaratibu basi kamwe hawezi kupata tabu na itakuwa kwake ni starehe. Kwani mwanamke mwenyewe anajua kuwa hiyo ni haki ya mume.
Refer
وَإِنۡ خِفۡتُمۡ أَلَّا تُقۡسِطُواْ فِي ٱلۡيَتَٰمَىٰ فَٱنكِحُواْ مَا طَابَ لَكُم مِّنَ ٱلنِّسَآءِ مَثۡنَىٰ وَثُلَٰثَ وَرُبَٰعَۖ فَإِنۡ خِفۡتُمۡ أَلَّا تَعۡدِلُواْ فَوَٰحِدَةً
Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu.
-Sura An-Nisa', Ayah 3
Na mwenye kuoa mke zaidi ya mmoja kamwe haweza kuwachoka wala wao hawawezi kumchoka, maana kila ikifika zamu ya huyu lazma unakuwa ushammiss hiyo unampelekea faya ya kutosha.
Lakin mmoja duh.
Kiukweli kabisa kila mwanaume mwenye Mke mmoja kama hana hofu ya Muumba wake basi mtarajie mtu huyo kuingia katika UzinifuMwanamme na mke mmoja kwani wewe njiwa?
Na hiyo ndio radha ya mapenzi na ndoa hii mambo ya wazungu ya mmja mmja ndio inaleta kuchepuka kisa wanandoa wanachokana no ku misianaHizo za kiislam si kuwa hazina changamoto, lakin kama muoaji alioa kwa kufuata utaratibu basi kamwe hawezi kupata tabu na itakuwa kwake ni starehe. Kwani mwanamke mwenyewe anajua kuwa hiyo ni haki ya mume.
Refer
وَإِنۡ خِفۡتُمۡ أَلَّا تُقۡسِطُواْ فِي ٱلۡيَتَٰمَىٰ فَٱنكِحُواْ مَا طَابَ لَكُم مِّنَ ٱلنِّسَآءِ مَثۡنَىٰ وَثُلَٰثَ وَرُبَٰعَۖ فَإِنۡ خِفۡتُمۡ أَلَّا تَعۡدِلُواْ فَوَٰحِدَةً
Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu.
-Sura An-Nisa', Ayah 3
Na mwenye kuoa mke zaidi ya mmoja kamwe haweza kuwachoka wala wao hawawezi kumchoka, maana kila ikifika zamu ya huyu lazma unakuwa ushammiss hiyo unampelekea faya ya kutosha.
Lakin mmoja duh.
Pesa inatafutwa jombaa ndio maana wanaume wengi wakipata pesa wanaongeza mke hii ni kusema kwamba pesa ni heshima ya ndoa piaPesa yenyewe hamna ila kuoa wake wengi mnataka.
Utakuwa na mahusiano ya imgogoro sana na uliyenae atasepaMe hata nikioa hao wanne(4) hawatanitosha bora nioe mmoja,huku naendelea kutafuna sample tofaut tofaut kwa raha zangu
Hakuna cha hofu ya Mungu mkuu wachungaji nk kutwa kashfa za kuchepuka,usilete mchezo kwa kichwa cha chini mkuuKiukweli kabisa kila mwanaume mwenye Mke mmoja kama hana hofu ya Muumba wake basi mtarajie mtu huyo kuingia katika Uzinifu
Lazma uelewe, Kuwa kiongozi, au kuwa na elimu ya dini hakumfanyi mtu kuwa karibu na MUUMBA,Hakuna cha hofu ya Mungu mkuu wachungaji nk kutwa kashfa za kuchepuka,usilete mchezo kwa kichwa cha chini mkuu
Fanya lililo bora kwakoNa hiyo ndio radha ya mapenzi na ndoa hii mambo ya wazungu ya mmja mmja ndio inaleta kuchepuka kisa wanandoa wanachokana no ku misiana
Rekodi za divorse zinaonyesha kati ya 10 waislamu ni kati ya 3 na 4My observation ni ni kwamba ndoa za wakristo ambao wako serious zina furaha na zinadumu vizuri, na pia ndoa ya muisilamu ambaye yuko serious na dini yake( ya mke mmoja au ya wake wengi) zina furaha na zinadumu sana.
Wakristo uliowaona wewe ni wale ambao hawako serious na dini yao, yaani wanafuata tu vile ambavyo vinawapendeza katika ukristo, ila vile ambavyo hawapendezwi navyo kama kuheshimu mume kutosalitiana kwa kigezo cha mila, hawavifuati kabisa. Hapo ndipo utasikia talaka au michepuko.
Hali kadharika, waislamu ambao wanaijua vizuri dini na kuifuata, hawana matatizo sana. Ila kuna wale waenda msikitini kwa mazoea tu; hawa hata wawe na wake kumi ila watatoka tu nje, na hawata watimizia haja wake zao.
Hivyo mimi naona tatizo ni kutokuwa serious na dini au kuielewa dini, lakini mtu anaamua kuyafuata yale anayopenda tu, ila yale anayoona yako kinyume na mapendezi yake anaamua kuyapuuzia
Sasa kama viongozi hawana maadili wanapata wapi uhalali wa kuwahubiria wengine,ndio maana mimi nina msimamo wangu binafsi sio mtu wa dini yeyote kwa kuwa sheria zina guaranteeLazma uelewe, Kuwa kiongozi, au kuwa na elimu ya dini hakumfanyi mtu kuwa karibu na MUUMBA,
Na kutokuwa kiongozi hakumfanyi mtu kuwa mbali na Mola wake..
Na ndio maana kusikia viongozi wategemewa Wanazini na kulawiti vitoto tena wengine mpaka ndani ya Vatican.
Shida moja ni kuwa Makafiri huwa hawakubali kuwa kiongozi anaweza kukosea
Inategemea sasa ni mfumo upi umefungamana nao, katika Uislam hatuangalii kiongozi anafanya nini, ila TUMEAMRISHWA NINI?Sasa kama viongozi hawana maadili wanapata wapi uhalali wa kuwahubiria wengine,ndio maana mimi nina msimamo wangu binafsi sio mtu wa dini yeyote kwa kuwa sheria zina guarantee