ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 40,950
- 47,073
Habari wadau wa jukwaa pendwa
Uchunguzi nilioufanga kuhusu ndoa nimebaini kwamba ndoa za Mitala za kiislam yaani za mke zaidi ya mmja zinadumu na zinafuraha kuliko ndoa za kikristo za mume mja na mke mke mja
Kwenye kuachana,migogoro na kukosa furaha ndoa za kikristo zimezidi licha ya kwamba huwa zinafungwa kwa mbwembwe na gharama kubwa
Nimegundua labda ni kutokana na kwamba dini ya kiislamu inazingatia zaidi tamaduni za kiafrika ya mke zaidi ya mmja na pia imekaza kumpa mwanamke uhuru uchwara kama ilivyo kwa ndoa za kikristo ambapo zinaiga tamaduni za kimagharibi.Karibuni kwa maoni na mjadala