jina la mtu unayemfeel tamu bana!
ehehehhehehhe kitu cha ...................................... yani unasikia kitu kinaitika tu taratiiiiiiibu mi maswala ya darling sijui honey au d,cha ya nini bana!kandamiza jina la mutu wako!hayo mwengone waachie wanaojifunza kuasign autograph na sticker zake!
Kamili mzee, We ni mmojawapo wa walioelewa hii concept ya N0 1 kwa undani wake. Big up.
Anko wangu mmoja humuita mkewe ''my miss world'' at least inaleta kitu, ila sasa ukimcheki huyo miss world mwenyewe sasa.... ndio unabaki ''beauty is in the eyes of beholder'' any way, My number one haniingii kichwani vizuri kwa wengi wanachofikiria kwamba inakimaanisha iyo no. 1
Khaaaaaaaaaaaaa!!!:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
Mkuu kulikoni!!!
hizo number tu as long as natawala mchezo na kila mechi napangwa sina tabu mie!!!!!!!