Salaam!!
Yarabi tena hili neno My Number One medula oblongata imekataa kuliongeza kwenye dikishinari yake.
Kwani nyie wana inamaanisha katika wote hao wewe ndio namba moja (kuwa kuna wenzako namba 2,3,4,5,6
.. nth) . Kwamba kama ni timu ya mpira wewe ndio (Kaseja) then unatafutiwa mabeki ,viungo na washambuliaji?? usisahau wachezaji wa akiba (Mpango wa kando/ Nyumba ndogoz)
Tobaaa!!! Kama vivyo namba zingine zikitokeza hadharani mbona inakuwa zogo enyi watu?
We lugha wewe!!:faint::faint::faint: