My Love...... My Endless Love....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
The way I love you, my facial expression tells all. Many kisses to you dadiiii mmuah!!



Mpenz nakupeeendaaa, ujue na nakupeeendaaa tena nakujaaaliii. ....
Mahaba mia mia kwako dadiii.

Ulale Unono Mahabuba

Kasie Mahabat Matata.
 
Nilikuambia gonjwa ulilonalo ni nzito sana na tiba inatakiwa

Saiv uko hatua mbaya ya emotional sanity..empty brain kabisa
Hahahahaa wewe Dogo Mpumbavu saana
 
Hiyo nyimbo/wimbo wa Saida na Banana huwa nikiusikikiza napata hisia kali sana
 
Ebu lala mkuu....
Kutoka huko hadi ufike mjini pale panapo tazamana na S.L.P...... mkabala na jengo refu lenye jina la kiongozi mkubwa kabisa wa awamu ileeeee...... Ebu lala mkuu kesho siku ya kazi bhanaaaaa, kitovuni mwa mji ni mbali, labda kama pengine upo likizo kuleeee Bondeni ama kwenye anapo miliki Trump....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
The way I love you, my facial expression tells all. Marys kisses to you dadiiii mmuah!!



Mpenz nakupeeendaaa, ujue na nakupeeendaaa tena nakujaaaliii. ....
Mahaba mia mia kwako dadiii.

Ulale Unono Mahabuba

Kasie Mahabat Matata.

Kwa nini unajiita Kasie Matata?
 

Usikremishe utajikwaa. ...... pole sana.
 
Kwa nini unajiita Kasie Matata?

Hahahahahhahahahahaaa unataka nikupe siri...?? Kasie bana asili yake tuu ni mtata mtata kama choda a baba ilivo tata na tamu aahahahahahhaahahhaahhahahahaa

Umekunywa maziwa? Cockroach Mendeeeee

Kasie Matata.....
 
Natamani na mimi nipate mpz kama Kasie. Mapenzi na Kasie, Kasie bila ya mapenzi haiwezekani.
 
Kabisaaaa hasa hiyo shooting yao, jamaa na mdada waliitendea haki

Hahahahaaa huwezi amini nilikuwa nasikiliza zaidi wimbo kuliko video....
Nimemuimbia habibi wangu leo... am so happy for him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…