Namge
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,407
- 1,894
Haya si mashindano ambapo lazima mmoja ashinde, ni mapenzi kati ya mume na mke
Sio pambano la ndondi ambapo lazima mmoja aanguke ni mapenzi kati ya mke na mume.
G...Umenifanya kibogoyo, ndo unanitupia mfupa na hata napotaka kuulamba unauchukua tena.
Kwanini, Kwanini G.. ?
Kwanini unajifanya kuwa na mimi ili kuwafurahisha tu watu
Umeondoa majivuno na fahali yangu kama mume
Kila mahali napoenda watu wanancheka, naonekana kama fala au takataka mbele yao..
Nanyanyasika mimi
Tafadhali nitafutie mahali nijifiche, siwezi kuhimili hii aibu..
Natamani ningekuwa bahari, walau ningewasimulia hadithi samaki, hadithi ya mapenzi yetu..
Kwa sababu msituni Simba asingeweza kunikakarbisha kwakuwa hadithi yangu ya mapenzi ingemfanya alie, kwahiyo wanyama wengine wasingemwogopa tena.
Hata swala wangecheka na kustaajabu
"Inakuaje Mfalme wa mwitu analia "
Lakini hawajui kama analia kwa kuwa hata Simba jike angeweza kumfanyia hivyo
G.. Unaniua..
Tafadhali nitafutie sehemu ya kujificha, kwa sababu angani ndege watajua nimewavamia sehemu yao
Hata chini ardhi mchwa na siafu watanila kama chakula chao
Wakati nipo hoi nmejificha kukimbia aibu
hata kaburini kwangu nitasahaulika so bora niende sehemu nyingine yoyote.
Jamani,
Hata virus wana kinga ambayo ni Anti virus..
Lakini huyu mtu aliyeleta mapenzi hakutupa maelekezo, ndio maana tunamsubiri atufundishe namna ya kupenda.
Lakini bahati mbaya Yesu hakuwa na mchumba.. Ndio maana bado tuna tuahangaika
Mda mwingine mapenzi yanaenda poa, mda mwingine ni hovyo kabisa.
Chumvi ikiwekwa kwenye chakula hupotea lakini unaweza kuisikia kwenye ulimi,
lakini tangu uondoke hakuna hata fununu zako
Kwanini, kwanini G...
Hujui kama unaniua mwenzio.
G.. Umetoka mikononi mwangu, kitanda chetu kimekuwa kama mpira wa miguu
Na afya yangu imekuwa dhaifu na ndogo kama kitenesi..
Usiku umekuwa mrefu na wenye mahangaiko
Wewe ndo tiba ya maradhi yangu
Wewe ndo kidonge cha furaha yangu G...
I love you and I know u know it well.
You're my everything sweetheart
Kwanini unanfanyia ivo G..
Nmekupa upendo wangu wote na maisha yangu kama nyongeza
"Although the priest is generous, don't you even think about asking him for a second communion "
Nawaomba waliokufa miaka mingi iliyopita,
Ambao walikufa kwa ajali
Ambao walikufa kwa Malaria
Ama waliokufa kwa sababu ya vita
Au waliojinyonga kwa sababu ya pesa
Wamuombe Mungu kwakuwa Wapo karbu nae atupungizie maumivu sisi tunaoteseka kwa ajili ya mapenzi
Since He says He is love
Yes
God is love..
...... Missing you my G.. Now and then.
I will be waiting with faith for your safe return in my hands once again.
True love never die...