My Letter to FP

Erick namuona Mr Q anawarubuni....mi siko nae niko natafakari ndoa yetu itakavyokuwa na nitakavyopendeza siku hiyo ma dia....
Hebu ongea na Catherine na Mentor watusimamie eeeeh
Sawa love nimekuelewa.....!
Asante kwa pendo lako la dhati kwangu na naomba umwambie huyu kijana asipoteze muda kwako!
 
Last edited by a moderator:
haya sasa FP huyu hapa, nimesikia kilio cha TANMO na Erickb52
kama mnavyojua, mimi ni binti halisi wa kiafrika, sitataka kabisa kuchakachua hilo. Naendeleza zile mila zetu..... kwa vile kila kilio kimeishia kwenye kapo, nawatuma kwa shangazi zangu wakiongozwa na akina snowhite, cacico, Kongosho wao watawaambia na wengine. na wajomba zangu akina Dark City, babu Asprin wao watawaambia wazazi wangu.
msisahau kwenda na cv zenu, maana siku hizi wakaka mmekuwa matapeli msije mkaniuza kuchunwa ngozi.
nategemea majibu toka kwa akina shangazi
 
Last edited by a moderator:
Sawa love nimekuelewa.....!
Asante kwa pendo lako la dhati kwangu na naomba umwambie huyu kijana asipoteze muda kwako!

Ame ni pm na kunionya vikali kwamba nisimpotezee muda. Bila hiyana nawatakia kila la kheri msikose kunipa special card.
 
Don't wait for the Perfect Moment,
Take the Moment and make it Perfect
Erickb52 is Perfect
 
Jamani FP bora umekuja na nimefurahi TANMO kakuelewa na hana hiyana na sisi.....karibu kwenye himaya ya b52 uone tofauti ya love!
 
Last edited by a moderator:

Wow,
Jibu lako kwangu ni nusu ya ndiyo..
Ngoja nikaandike Siivii halafu narudi...
 

Aaa nimerudi,, nilisahau.
Eti Siivii tunaiandika kwa lugha gani?
Yaani hata kama ni kwa kikwenu we niambie, alimradi unitajie Kabila..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…