Lengo lake ni kutuharibia! Nitamlengesha kwa watoto wa esso wamfanye "hamna!?"
Hahahahaha hivi kuna kungwi wa kiume eeh???
Hahahahaha hivi kuna kungwi wa kiume eeh???
Heheheheee umesahau kuwa Bishanga nilimpora mkewe The secretary ?Wewe unaturingishia na Pesa za hisani ya Mhaya Masikini Bishanga?
Benki zimeshaanza kumfilisi baada ya kushindwa kulipa madeni..
Ngoja akate misaada ndiyo utakoma..
Hajajibiwa Bana,,
Hebu acha kunirusha Roho hapa..
Bora uwe na moyo huo coz mi huwa sidumu nao sana!Sawa mkuu, nitasubiri hata miaka Elfu...
si amesema amemweka ndani anampa mafunzo? Au ni Kisongo kule alipopelekwa Mh. Mbunge?