My Letter to FP

Preta ananizingua tu kila kona ana mwanaume mara mtu chake mara KakaKiiza mara TANMO mara aonekane mtaani na PakaJimmy lol nani anamtaka wa hivyo?
We ushawahi kumsikia FP ana kashfa ya ngono kama wewe?

Unanisingizia Bana,,
Preta ndiyo nani huyo? Mbona simjui?
FP my dear, hizi ni chokochoko tu za huyu B52 kutaka kunikosesha haja la moyo wangu.
 
Unanisingizia Bana,,
Preta ndiyo nani huyo? Mbona simjui?
FP my dear, hizi ni chokochoko tu za huyu B52 kutaka kunikosesha haja la moyo wangu.
Hahahahhaaa TANMO sio kukukosesha haja ya moyo bali zote kabisa FP is mine labda nikuangalizie nafasi kwa Arabela kama bwana wake kafungwa maisha maana ni mjane kwa sasa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…