yeaah! u can lakini unatakiwa kwanza uhamishe dada zako zote ambazo ziko kwenye local 'c' uweke kwenye 'd' or other partitioned area lakini lazima comp yako iwe ina partition zaidi ya c au unaweza ku leave the curent seting no intact changed lakini pia unatakiwa uwe na driver za xp kwani haziingiliani xp na vister .