The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,179
- 14,064
Inasikitisha sana
Mission ya 2017 uliimaliza?.
Ni nidhamu na jitihada ndio itakufikisha malengo yako. Usitake na usiwape nafas watu wengine pemben wakushauri kwa kukupa morari au kwa kukuvunja moyo.
Go get it yourself. No matter what.
with or without the audience.
Go get it Done.
Mikikimikiki ya maisha yangu n marathon toshaJobless mwenzangu unakimbia KM ngapi wastani?
2017, Iliisha 2021 na ilikua ni degree π.
Nway, JF sio real audience napenda kuweka record zangu hapa, miaka 3 mbele hua napenda kurudi kutazama mitazamo yangu ya Nyuma Kuhusu mambo mbali mbali ya maisha.
Maisha yanikimbize halafu na mazoezi yanikimbe hapana kwakweli...π
Ye afanye tu.Naona Jamaa anapenda challenge. Na ni kitu kizur.
kama ameweza kushare progress na AI. Bas ashare hapa pia. Kuna watu wanakimbia na watatoa stats zao ili yeye ajifananishe na aone how far and how great He real is.
ππππNajua ww huwez maana mbio zako ww ni za uwanja ule mfupi.Ye afanye tu.
Ndio mbio nazoziwaza tu hapa...πππππNajua ww huwez maana mbio zako ww ni za uwanja ule mfupi.
Una jifunika na shuka kabisa.
Na mko wawili.
Maisha yanikimbize halafu na mazoezi yanikimbize hapana kwakweli...π
Naelewa zamani nilikuwa nafanya mazoezi so najua kabisa namna mwili unavyokuwa fit na flexible.. nafikiri baadae nitarudi kwenye enzi yangu ya mazoezi.Hahaha, ila siku ukiaanza utaona raha yake.
Mfano ukikimbia ahsubuhi ndo uende kazini, siku nzima unakua mwepesi na productive
Akili na mwili vina respond chapu sana kuliko ukiwa hujakimbia/Fanya zoezi.
Jitahidi kijana. Baba yako hapa nakaribia 50yrs napiga 21km kwa pace ya 6.Heshima kwenu wakuu, Itifaki na izingatiwe.
Iko hvi, kwa muda mrefu nimekua natamani uwezo wa kukimbia atleast 10KM kwa pace nzuri.
Sasa jana nimeanza vizuri tu, easy running kwa 4.14KM kwa pace ya 07:25min/KM.
Sasa leo nikawa na aim nifike 5KM lkn naona pumzi imekataa kabisa π tuwaone tu akina Simbu wanapewa tuzo Marathon sio rahisi pia.
Japo hakijaharibika kitu, kesho tena niko Barabarani, mpaka kieleweke.
Nikifika 10KM nitasimama hapo nianze traning kwa ajili ya kupanda Mt. kilimanjaro.
Nataka ninapo sherehekea miaka 30, nisherehekee juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro π
Embu ona Chartgpt anavoicheka pace yangu ya leo π.
View attachment 3593598View attachment 3593599
Jitahidi kijana. Baba yako hapa nakaribia 50yrs napiga 21km kwa pace ya 6.
10km ndio mazoezi yangu ya kila siku tatu kwa wiki.