MY JF MEMBER OF THE YEAR 2018

MY JF MEMBER OF THE YEAR 2018

Pascal Mayalla Makofi tafadhali

Mtakaosema nsjitongozesha ni poa tu kwasababu ni haki yangu pia

Mshana Jr worth mention

@mzeemwanakijiji sijui kimemsibu nini kwasasa kuna mijadala mizito kuzidi hasira za kumksribisha Lowasa Chadema lakini mzee kimya sana

Nayamisi mapweinti ya huyu mzee hatari

Hivi ni kweli alinunuliwa na yanga kutoka simba?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji106][emoji106][emoji115][emoji115][emoji123][emoji123][emoji123][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Viatu vya Samaki, Bigmind, Mwifwa, yule mzee wa ndevu na pengo,

everywhere you go, you find them.

wachaniwakumbuke na analogy yangu
 
MMU sijawahi tembelea Mimi siasa zimeniharibu kabisa. Natamani kusikia habari za Korosho EU US sijui Mashoga vitambulisho vya wamachinga Mbowe segerea sijui Azori MO Siprian Musiba kuunga mkono Juhudi stigglers SGR Acasia

Yaaani nashindwa kumaliza

tupo wengi ht mie jukwaa la.siasa nalielewa sana ila nikikaa sana najikuta nna ban..bdw mbona huwa sikuoni?kule yupo sky eclat,pawaga,mama aheshimiwe,erthyro...nk nk..
 
Nakuna member mwing8ne namwelewa kweli kweli anaandika constructive ideas kweli kweli@Paul Alex na@konda msafi
 
Back
Top Bottom