My Hypothesis on CHADEMA/Zitto’s Shadow Budget Blunder

English Learner

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
355
355
I've tried to convince myself unsuccessfully that a graduate economist with an "A" in Public Finance, analyzer of National Macro and Microeconomics, Shadow Minister of Finance and the senior practitioner of national and a bit international politics can forget the very heart element of the budget equilibrium; sources of income-the budget financing!

In trying to find-out what reason(s) could have caused such a blunder to be done and pass unnoticed along all Party's (CDM) levels only to be realized in the public, I've come-out with the following hypothesis

H1:
The act of leaving the mention of sources for the budget financing was a deliberate
act by Zitto to show his Party that:

  • They are nothing different to CCM's MPs who do not read documents rather support their adoption into Acts and implementation

  • There is no another keen and intelligent person to scrutinize economic issues in CDM apart from Zitto. Hence the Party puts all its trust on Zitto exclusively.
Grounds to support my hypothesis
Recently, Zitto released another series of confusing and weather testing statement. He tempted to deny ambition for any Party post and announced not to contest for any position in the close coming election. That means he wants to remain as a solely common member and MP through CDM. I personally take this as an episode Zitto uses to lure the public interests and supports that later will force him to continue or take higher posts. It is the same trick Zitto played in 2007 when he announced to retire from Politics something which he has not yet honored.

Second, Zitto's apology which came-out immediately, though reveals Political maturity and high level of civilization but leaves my questions

You are all welcome to validate or oppose my Hypothesis
 
Mkuu ahsante kwa gud analysis! Hata mi nimejarbu kuipitia shadow budget ya upinzani na nimegundua kuwa palikuwa na legitimacy ya Mps wa CCM kuipondea.

Kiukwel ukiiangalia hiyo budget ya upinzani napata wazo jipya kuwa huenda ni mpango mahsusi ulioandaliwa na baadhi ya kigogo au vigogo wa upinzan na chama tawala ili kuhakikisha shadow budget ya CDM inakuwa na mapungufu ya wazi wazi tena ya makusudi ili kuionesha dunia kuwa OUT OF CCM THERE IS NO ANY STRONG GOVERNMENT.

Sina uhakika lakin nikicompare pia na jinsi ZZk alivyobwatuka mapema kwenye mass media kuomba radhi kwa mapungufu ya shadow budget napata picha kuwa it was among of the trick to lie the people that HAKUNAGA KAMA SERKALI YA CCM na hata CDM bado haijajipanga kuongoza nchi.

Hayo ndio mawazo huru.
CDM TAKE CARE OND DIS STUPIDITY HYPOCRICY TRICK
 
ZZK awajibike kwa hili ?
 
Hapa lazima tuwe wakweli sisi wapenzi wa mabadiliko.

Zitto na CDM kwa ujumla tumechemka sana kwa tukio hilo la budget lakini pia kingine kilichonishangaza ni Mh Mbowe kuchukua bila kuwataarifu wananchi aliowatangazia kususa gari.

Tulisema CDM pale mtakapochemka lazima tuwaambie ukweli no justification for that.

CDM tafadhali ongezeni umakini msitugeuze katuni sisi tunaopiga mayowe ya mabadiliko huku nje tukose majibu kwa wananchi wa kawaida mwisho wataona CDM=CCM!
 
H1:
The act of leaving the mention of sources for the budget financing was a deliberate
act by Zitto to show his Party that:

  • They are nothing different to CCM's MPs who do not read documents rather support their adoption into Acts and implementation

  • There is no another keen and intelligent person to scrutinize economic issues in CDM apart from Zitto. Hence the Party puts all its trust on Zitto exclusively.

Madame English Learner what is your alternative Hypothesis? and what is your level of significance?
 
Dont understand what is this you people talking atall, Is this a serious business to this extent that you disqualify our MP Kabwe and CDM? I thought thiis was a mere error to de commited by any person i.e English Leaner. :sad: Owk! Think twice and may be yuo will thereafter understand this....:A S-rose:
 
Shekhe Gorogosi Jr

When commenting, remember as I said loudly, this is my hypothesis and what I expect from you all are the points to validate or oppose it. My more than twice thinking have earned that hypothesis. You should either defy or give more reasons to support it.

Dont understand what is this you people talking atall, Is this a serious business to this extent that you disqualify our MP Kabwe and CDM? I thought thiis was a mere error to de commited by any person i.e English Leaner. :sad: Owk! Think twice and may be yuo will thereafter understand this....:A S-rose:
 
ZZK awajibike kwa hili ?

i real respect the guy hon ZZk but ktk hili nashindwa kupata jibu, especially niki-refer ile thread ya Nape Nnauye humu jf soon baada ya Zzk kuomba radhi Thread ya Nape ilokuwa ikmpongeza Zkk kuwa amekomaa kisiasa kwa kuku bali mapungufu yaliyomo kwenye shadow budget, hapo napata picha hivi kweli toka lini Nape akapongeza CDM? Je Nape alikuwa wapi kwenye m4C na vua gamba na vaa gwanda kuipongeza CDM kwa mafaniko ya kazi nzuri za hizo movement? Mwisho napata taswira kuwa there is reason behind ktk hii shadow budget ya upnzani kwani unapoonza adui kama Nape anakupongeza kwa jambo fulani ujue kuna kitu hapo.
 
Dont understand what is this you people talking atall, Is this a serious business to this extent that you disqualify our MP Kabwe and CDM? I thought thiis was a mere error to de commited by any person i.e English Leaner. :sad: Owk! Think twice and may be yuo will thereafter understand this....:A S-rose:

be a guy! Dis is jst lyc a debate so what your supoz 2 do is 2 propose or oppose the motion nd not other wise.
Thats all.
 
The day it was posted here (shadow budget?), I mentioned that mistake immediately but none from chadema leaders nor cadres took heed.

Kuongea kustawisha barza ni kitu kingine na mahesabu ya bajeti ni kitu kingine.

Bwana Zitto kapiga pumba nyingi kwenye maongezi, kufika kwenye fugures kashindwa kabisa kudhihirisha aliyoyasema, mfano anakwambia atawekeza kwenye kilimi vijijini, lakini hajaonesha chanzo cha fedha na atawekeza fedha ngapi vijijini na atachokifanya ni nini?

Naona hapo anataka kuwapiga watu changa la macho, nataka kumkubusha tu kuhusu SAGCOT na Kilimo Kwanza.

Nimeipitia, juu huko inasema tunataka fedha za wahisani ziwekeze sio zitumike kwa matumizi ya kawaida, chini kwenye jedwali pesa za wafadhili kwenye maendeleo ni 0.

What a contradiction.

You'll find those posts here: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kambi-ya-upinzani-bungeni-2.html#post4074671

Who in his right senses would give chadema a go ahead to lead us? if big mistakes are noticed by a layman (me) and none of your "economists" gives a shit. None argued on those posts in the said thread and none even thanked me for pointing out those mistakes. Instead, that thread is full of praise to Zitto, what for? for BS'ing Tanzanians?
 
Mkuu ahsante kwa gud analysis! Hata mi nimejarbu kuipitia shadow budget ya upinzani na nimegundua kuwa palikuwa na legitimacy ya Mps wa CCM kuipondea.

Kiukwel ukiiangalia hiyo budget ya upinzani napata wazo jipya kuwa huenda ni mpango mahsusi ulioandaliwa na baadhi ya kigogo au vigogo wa upinzan na chama tawala ili kuhakikisha shadow budget ya CDM inakuwa na mapungufu ya wazi wazi tena ya makusudi ili kuionesha dunia kuwa OUT OF CCM THERE IS NO ANY STRONG GOVERNMENT.

Sina uhakika lakin nikicompare pia na jinsi ZZk alivyobwatuka mapema kwenye mass media kuomba radhi kwa mapungufu ya shadow budget napata picha kuwa it was among of the trick to lie the people that HAKUNAGA KAMA SERKALI YA CCM na hata CDM bado haijajipanga kuongoza nchi.

Hayo ndio mawazo huru.
CDM TAKE CARE OND DIS STUPIDITY HYPOCRICY TRICK

Wakuu, Chama chochote cha upinzani duniani kote, kikiingia madarakani hakiingii na wataalamu wake wanajeshi wake, polisi wake, usalama wa taifa wapya nk., la hasha, kama ambavyo wengi wanafikiria.

Tanganyika ilipopata uhuru Mwl Nyerere hakufukuza wataalamu wa kizungu. Vivyo hivyo wataalamu waliopo sasa serikalini ndio hao hao ambao watatumiwa na wapinzani kama watabahatika kuingia madarakani.
Ila tu watafanyakazi kwa miongozo ya chama kitakachokuwa madarakani.

Ndiyo maana Katiba ya TZ inapiga marufuku watumishi wa serikali kushabikia siasa.

I believe it was a common mistake, that could have been made by any human being regardless of which party membership one belongings to.
 
Madame English Learner what is your alternative Hypothesis? and what is your level of significance?

English Learner mention only the alternative hypothesis, what is about null hypothesis? And if stated the level of significance, he should tell us which procedures used to reach conclusion and if he decided whether to accept or reject Ho.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu, Chama chochote cha upinzani duniani kote, kikiingia madarakani hakiingii na wataalamu wake wanajeshi wake, polisi wake, usalama wa taifa wapya nk., la hasha, kama ambavyo wengi wanafikiria.

Tanganyika ilipopata uhuru Mwl Nyerere hakufukuza wataalamu wa kizungu. Vivyo hivyo wataalamu waliopo sasa serikalini ndio hao hao ambao watatumiwa na wapinzani kama watabahatika kuingia madarakani.
Ila tu watafanyakazi kwa miongozo ya chama kitakachokuwa madarakani.

Ndiyo maana Katiba ya TZ inapiga marufuku watumishi wa serikali kushabikia siasa.

I believe it was a common mistake, that could have been made by any human being regardless of which party membership one belongings to.

Mkuu ahsante kwa ufafanuzi wako mzuri lakin rejea comment yangu ili ujue the real content that i intended.
 
Jana iliwekwa CV ya Mh. Arfi Waziri Kivuli wa Miundo mbinu! Darasa la saba Failure! Unategemea nini? Ukipanda bangi unavuna bangi!
 
we should discuss the content in the opposition budget in comparison with the one tabled by the government then tuone kama zinatusaidia kutuvusha hapa tulipo kwenda seham nyingine. tukumbuke kwamba bila upinzani kiukweli nafikili tusinge kuwa hapa tulipo hilp halina ubishi...kwani ni mara ngapi mh. amesoma hotuba ambayo baadaye inakuja kugundulika amedanganywa either kwa makusudi au kwa bahat mbaya.

MAPITA JAMANI NIPO BUSY NAANDIKA PAPER
 
Jana iliwekwa CV ya Mh. Arfi Waziri Kivuli wa Miundo mbinu! Darasa la saba Failure! Unategemea nini? Ukipanda bangi unavuna bangi!

na hao maprofesa na na phd holders wa CCM wametufikisha wapi mapka sasa ktk hii miaka 50 ya uhuru? Babli je na degree zake za uchumi katufikisha wapi ? Prof. Maghembe je? Dk. Omary Nundu je? Dk. Jk kikwete? Dk. Mary nagu je?dk. Benson bana je ? Wassira je? Mwigulu je? Hao wote wametufikisha wap mpaka sasa na elimu zao?

THINK BIG
 
There is nothing like shadow budget than recommendations as the Hansard reads.If you agree at the outset that it is recommendations,which is a true fact ,then it should also be accepted that recommendations not necessarily be taken or rather be consumed as whole as the opposition party(CCM) YES i mean CCM did!!!!!
 
Mkuu ahsante kwa gud analysis! Hata mi nimejarbu kuipitia shadow budget ya upinzani na nimegundua kuwa palikuwa na legitimacy ya Mps wa CCM kuipondea.

Kiukwel ukiiangalia hiyo budget ya upinzani napata wazo jipya kuwa huenda ni mpango mahsusi ulioandaliwa na baadhi ya kigogo au vigogo wa upinzan na chama tawala ili kuhakikisha shadow budget ya CDM inakuwa na mapungufu ya wazi wazi tena ya makusudi ili kuionesha dunia kuwa OUT OF CCM THERE IS NO ANY STRONG GOVERNMENT.

Sina uhakika lakin nikicompare pia na jinsi ZZk alivyobwatuka mapema kwenye mass media kuomba radhi kwa mapungufu ya shadow budget napata picha kuwa it was among of the trick to lie the people that HAKUNAGA KAMA SERKALI YA CCM na hata CDM bado haijajipanga kuongoza nchi.

Hayo ndio mawazo huru.
CDM TAKE CARE OND DIS STUPIDITY HYPOCRICY TRICK

Hatuwezi kutumia mapendekezo ya watu mnaotumwa humu, to me it is not a shadow budget rather an opinion to the government budget, mnapo post vitu humu jaribuni kutumia akili angalau kidogo, haiitwi bajeti kivuli yanaitwa mapendekezo, bajeti inayoandaliwa na chama tena watu wachache utailinganishija na bajeti inayoandaliwa na serikali pamoja na wataalamu wake wote, hata hivyo wewe unashugulika na kwanini walisahau ? are you serious, badala ya kilichopendekezwa kinafaa au la,

Hivi unaijua gharama ya kuandaa bajeti ya serikali ? tusijiabishe kwa kuweka humu vitu ambavyo vitaendelea kutushushia hadhi humu, natamani kukufahama nilinganishe muonekano wako na mawazo mfuu haya
 
Back
Top Bottom