My Hypothesis on CHADEMA/Zitto’s Shadow Budget Blunder

nguruwe* ww unayeamisha watu eti CDM hakuna wasomi sasa subiria 2015 tutaingiza vijana wengine wengi tena wasomi kama wakina Heche, saanane, j mrema etc ndio hapo mtaisoma namba.

Tumeshawazoea matusi,jazba,fitina,uzembe,udini,ukabila,chuki binafsi,mbwembwe,kukosa hekima na busara hizo ni baadhi ya tabia chafu za Chadema,wanachama na viongozi wao! Wewe wala usishangae ukisema jambo lolote linawauma na watakushambulia kwa maneno makali na matusi mazito ,usikate tamaa wewe sema na endelea kuelimisha jamii ya watanzania kokote ulipo kuwa Chadema hawafahi kupewa madaraka kutokana na tabia zao chafu ili kulinda Amani,Umoja na Mshikamano wa watanzania!
 
Natatanishwa sana na watu mnaomzungumza Zitto kwa mabaya. Naamini ktk intelejensia ya Chadema hasa linapokuja suala la wasaliti.
Labda nieleze kwamba tofauti na wabunge, viongozi na wanachadema wa kawaida wanavyofanya kazi zao za siasa kwa matusi, dharau na fujo kwa Zitto ni tofauti kwani yeye anafanya siasa za kistaarab. Anaibua tuhuma, anakosoa na kutoa mwongozo.
Ktk suala la maoni ya kambi ya upinzani yale ni maoni ya chadema kama kambi na kabla hayajasomwa chadema waliyajadili. Tofauti na Cuf walivyokuwa wakiandaa mawazo yao ktk mfumo wa bajeti kamili, upinzani safari hii wameonesha kasoro ktk bajeti ya serikali na jinsi ya kuzirekebisha. Ndio maana sehemu zilizoonekana zinafaa hazikuongelea.
Wale wanaomchafua Zitto kwa tuhuma za kitoto na hisia nashindwa kuwapambanua kama watu makini ktk chama au waanzilishi wa migogoro? Tambueni kila mwanachama ktk chadema anahaki sawa na yeyote.
 
Wa_Tz hamuwezi kujadili jambo bila kuingiza udini na ukabila?
Nani kawaloga?
Halafu eti hili ni jukwaa la great thinkers?
Shame on u kwa kuwa wadini na wakabila
Tabia za kishenzi na hatarishi
 

Kaka/dada,

Mawazo yanayoandikwa hapa ni ya watu binafsi.Iweje ulete generalization?Kama uanataka kuichafua CHADEMA kama Taasisi unaweza kuichafua tu bila kutafuta visingizio.Why cant you deal with the poster?Mbinu za kusema CHADEMA ni chama cha fujo zinagonga mwamba

Tunajadili bajeti kandamizi kwa Taifa.Wahanga wakuuu wa Bajeti hii ni Vijana.Bila kuwa na upinzani imara Bungeni hali ingeweza kuwa Worse.Majaribio yoyote ya kuhujumu chadema kwa kuchochea party division hayawezi kuwa tolerated.

Pia,Jaribio la kuhusisha matendo ya members wa hapa JF na Chadema ni Udhaifu mkubwa na kukosa weledi katika kutoa mawazo kwenye jukwaa huru
 
Next time unaandika ukumbini tumia herufi ndogo. Kutumia herufi kubwa ni kama vile unazungumza kwa makelele. Nimeshinda kumaliza kusoma bandiko lako.
 
How is the budget poverty inducing?..
Tell me the source and subsequent allocation of the money that you see flying all over Tanzania that can massively reduce our poverty. Don't just say this budget is poverty inducing without showing us how.
Thats too freakin general!!
 
Nadhani kunawatu wanachochea mgogoro ndani ya Chadema, kuna watu wamemwita Zitto mchawi. Ni maneno ya kuudhi.
Ushauri kwa wanachadema, ktk hali iliyonayo ccm kwa sasa karata waliyobaki nayo ni kuigombanisha chadema na huenda watafanikiwa kama tutakuwa wababe na tukipoteza mshikamano.
 

Ndio propaganda yao wanayoitegemea.

Tusikurupuke na kununuliwa kwa bei rahisi.

Tusikubali kugawanywa kwa Dini na kabila. Zitto ni mwana CDM na hana shida na CDM, wala CDM haina shida na Zitto kama mtoa mada atakavyo kuaminisha watu.
 
Tatizo lako ni kuwa unachoamini wewe basi ndiyo ukweli wa mambo.
Republicans, hata kama ni wengi kwenye house bado ni kambi ya upinzani. Na budget is nothing but a bill that can be voted on or not. They knew it was going to be vetoed anyways, but they still had to show the public what they stand for.

Na kama democrats kwenye senate wangejiunga na republicans ... ingepita hata kama ingekuwa vetoed.The point is to make a statement.

Kupinga, sijui ku-dissect budget ya serikali bila wewe kuleta yako ni upuuzi ambao tunaukataa hata humu jamvini.Ni sawa na kusema kuwa JK ni dhaifu bila kutuonyesha kuwa ingekuwa wewe ni rais ungefanya maamuzi gani mazito?... halafu tuanze kukuchallenge based on reality.Sio tu kuanza kuikosoa bila kutupa alternative.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikikuona unaandika makala za kudiscourage upinzani usiishauri serikali. Unachotaka wewe ni kuiacha serikali i-fail halafu watu ndiyo wa-opt kwenye upinzani, thats too shallow.

Kuhusu kupigiwa kura au kujadiliwa kwa bajeti kivuli, hayo ni mawazo yako wewe. Is it pactical kwamba alternative budget can be floored and voted on?... Hell yeah!!!
Hata pofesa maji marefu akipendekeza budget isipitishwe mpaka elimu iongezewe trilioni mbili na wabunge wakakubali, basi haitopitishwa.
Zitoo, Mnyika na majembe yenu mengine can do that too.Usipende mambo ya kususasusa just bacause you only have 20% of the legislature, keep on doing the right thing and add more seats later on!!!
Geezus!!
 
Hivi picha za kudabwa mwizi wa mapenzi Simbachawene zimedhibitiwa bandugu?
 
Zitto kashashutumiwa sana hapa. Yeye mwenyewe amejitahidi kujitetea mara kadhaa. Ingekuwa vizuri iwapo Katibu Mkuu Dr. Slaa angelitolea ufafanuzi swala la Zitto kushutumiwa kutumika na CCM. La sivyo ukimya wa viongozi wa juu wa chama unaonekana kama wao pia wana wasiwasi na uaminifu wa Zitto kwa chama. Kuna taarifa kuwa Zitto ana mpango wa kutokugombea tena nafasi za juu za uongozi wa chama. Kmaa taarifa hizi ni za ukweli basi inaweza kuwa zimesababishwa na pressure anayowekewa ya kutoaminiwa. Kila anayefanya bidii hupenda wenzake wathamini bidii yake, katika Chadema inaonekana kama bidii ya Zitto haithamini!
 
Zitto kabwe lakini si unaskia jinsi watu wanavyobeza kazi yako? Sasa tunaomba ututhibitishie ss wanaCDM kuwa we ni mchapakazi na jasiri ktk bunge hili la bajeti kabla halijaisha tutahitaji utulipulie tena gamba mmoja kama ulivyofanya kwa pinda.
 

Haaaahaaaaaa sina mbavu kweli wewe umetumwa kazi, lazima ukitetee chama ili ugali upatikane mezani! Haaaaaaahaa umevunja rekodi ya vituko bosi
 
Kwani huko kwenye iPad si iliwekwa na ilikuwa typed kutoka kwenye computer acha unafiki wewe na viingereza vyako vyA kimagamba huna lolote bibi wewe pambaf
 
Mbona hayo Maneno umeyakariri Kama wale wauza bidhaa za kichina mabar?
 
Haaaahaaaaaa sina mbavu kweli wewe umetumwa kazi, lazima ukitetee chama ili ugali upatikane mezani! Haaaaaaahaa umevunja rekodi ya vituko bosi


Mkuu heshima kwako!! Upo!! Mbona umetutenga namna hii jukwaani!!? Duh! Siku nyingi sana mkuu!!
 
hata mimi imani na huyu bwana imeanza kunitoka maana mbali na kuandaa bajeti rubbish sasa nimeona akipost kwa nguvu sana facebook na twitter akimsifu sana William Mgimwa! Anamsifu kwa bajeti ipi ya kumsaidia mtanzania wa kawaida wa kijijini? kama Zito ansema william mgimwa kaandaa bajeti safi kwanini alipoitwa hakusema ndio? huyu bwana ni wa kufuatilia kwa karibu sana!
 

kwani huoni dalili za mkoloni mweusi wa pili baada ya kwanza ccm kuchukua chake mapema. Na mkololi mweusi wa pili ana mendea kama mkoloni mweusi wa kwanza ataanguka nae anakuja nayake chukua dau mapema. Tumeona kuwa cdm walafi tena waongo na wa dhaifu mfano tu kichwa(mwenyekiti mbowe au mungu mbowe) ameonesha udhaifu tena dhaifu ameshindwa kusimamia alipo paamini na kuwahadaa wananchi amerudisha gari kwa mbwembwe ati utumiaji wa magari ya kifahari ni ufujaji mali hivyi sipaswi kulitumia gari hili. Miezi sita baadae akalichukua kimya kimya bila kutangazia umma kwa mbwembwe kama zile za mwanzo. Hii ni dalili ya mafisadi na wakoloni wanyonyaji. Kuna mwana funzi alijitolea kwenda kusini wiki mbili aliambulia posho ya tsh 15,000, huyu mwanafunzi wa chuo pia alipewa zawadi ya ma tusi kutoka kwa heche huyu na mkaburu kuna tofauti? Haya ndio maashirio ya mkoloni mweusi wa pili kama atabahatika0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…