English Learner
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 366
- 453
Mkuu ahsante kwa gud analysis! Hata mi nimejarbu kuipitia shadow budget ya upinzani na nimegundua kuwa palikuwa na legitimacy ya Mps wa CCM kuipondea.
Kiukwel ukiiangalia hiyo budget ya upinzani napata wazo jipya kuwa huenda ni mpango mahsusi ulioandaliwa na baadhi ya kigogo au vigogo wa upinzan na chama tawala ili kuhakikisha shadow budget ya CDM inakuwa na mapungufu ya wazi wazi tena ya makusudi ili kuionesha dunia kuwa OUT OF CCM THERE IS NO ANY STRONG GOVERNMENT.
Sina uhakika lakin nikicompare pia na jinsi ZZk alivyobwatuka mapema kwenye mass media kuomba radhi kwa mapungufu ya shadow budget napata picha kuwa it was among of the trick to lie the people that HAKUNAGA KAMA SERKALI YA CCM na hata CDM bado haijajipanga kuongoza nchi.
Hayo ndio mawazo huru.
CDM TAKE CARE OND DIS STUPIDITY HYPOCRICY TRICK
H1: The act of leaving the mention of sources for the budget financing was a deliberate
act by Zitto to show his Party that:
- They are nothing different to CCM's MPs who do not read documents rather support their adoption into Acts and implementation
- There is no another keen and intelligent person to scrutinize economic issues in CDM apart from Zitto. Hence the Party puts all its trust on Zitto exclusively.
Dont understand what is this you people talking atall, Is this a serious business to this extent that you disqualify our MP Kabwe and CDM? I thought thiis was a mere error to de commited by any person i.e English Leaner. :sad: Owk! Think twice and may be yuo will thereafter understand this....:A S-rose:
ZZK awajibike kwa hili ?
Madame English Learner what is your alternative Hypothesis? and what is your level of significance?

Kuongea kustawisha barza ni kitu kingine na mahesabu ya bajeti ni kitu kingine.
Bwana Zitto kapiga pumba nyingi kwenye maongezi, kufika kwenye fugures kashindwa kabisa kudhihirisha aliyoyasema, mfano anakwambia atawekeza kwenye kilimi vijijini, lakini hajaonesha chanzo cha fedha na atawekeza fedha ngapi vijijini na atachokifanya ni nini?
Naona hapo anataka kuwapiga watu changa la macho, nataka kumkubusha tu kuhusu SAGCOT na Kilimo Kwanza.
Nimeipitia, juu huko inasema tunataka fedha za wahisani ziwekeze sio zitumike kwa matumizi ya kawaida, chini kwenye jedwali pesa za wafadhili kwenye maendeleo ni 0.
What a contradiction.
Mkuu ahsante kwa gud analysis! Hata mi nimejarbu kuipitia shadow budget ya upinzani na nimegundua kuwa palikuwa na legitimacy ya Mps wa CCM kuipondea.
Kiukwel ukiiangalia hiyo budget ya upinzani napata wazo jipya kuwa huenda ni mpango mahsusi ulioandaliwa na baadhi ya kigogo au vigogo wa upinzan na chama tawala ili kuhakikisha shadow budget ya CDM inakuwa na mapungufu ya wazi wazi tena ya makusudi ili kuionesha dunia kuwa OUT OF CCM THERE IS NO ANY STRONG GOVERNMENT.
Sina uhakika lakin nikicompare pia na jinsi ZZk alivyobwatuka mapema kwenye mass media kuomba radhi kwa mapungufu ya shadow budget napata picha kuwa it was among of the trick to lie the people that HAKUNAGA KAMA SERKALI YA CCM na hata CDM bado haijajipanga kuongoza nchi.
Hayo ndio mawazo huru.
CDM TAKE CARE OND DIS STUPIDITY HYPOCRICY TRICK
Madame English Learner what is your alternative Hypothesis? and what is your level of significance?
Wakuu, Chama chochote cha upinzani duniani kote, kikiingia madarakani hakiingii na wataalamu wake wanajeshi wake, polisi wake, usalama wa taifa wapya nk., la hasha, kama ambavyo wengi wanafikiria.
Tanganyika ilipopata uhuru Mwl Nyerere hakufukuza wataalamu wa kizungu. Vivyo hivyo wataalamu waliopo sasa serikalini ndio hao hao ambao watatumiwa na wapinzani kama watabahatika kuingia madarakani.
Ila tu watafanyakazi kwa miongozo ya chama kitakachokuwa madarakani.
Ndiyo maana Katiba ya TZ inapiga marufuku watumishi wa serikali kushabikia siasa.
I believe it was a common mistake, that could have been made by any human being regardless of which party membership one belongings to.
Jana iliwekwa CV ya Mh. Arfi Waziri Kivuli wa Miundo mbinu! Darasa la saba Failure! Unategemea nini? Ukipanda bangi unavuna bangi!