Pole sana ndugu yetu... msiba wa mzazi ni kitu kisichoelezeka!
Tutazidi kukuweka kwenye sala zetu ili mungu akupe nguvu na pia kumuombea mama apate pumziko jema la milele.
Mpita Njia, pole sana kwa kuondokewa na Mama yako mpendwa..Mungu akupe uvumilivu,faraja na ujasiri katika kipindi hiki kugumu kwenye maisha yako..Pole sana wewe na familia yenu yote!..