My God help me nimpende nani


Kwa kweli..
 
...unaonekana bado mdogo sana..tulia..soma....

Yeah still mdogo but siko under eighteen,,now nipo mwaka wa mwisho chuoo nursing,,,let me concetrate in studying kweli mapenz yapo tu
 
Ndo walewale tu,,,,ukiwa mkweli unadanganywa duuuh

anti katika uhusiano usiwe negative....kuna watu wanapenda na wanaotamani,yawezekana wengi wamekutamani.hujabahatika kupata anae kupenda.nainawezekana anae kupenda kwa dhati we humuitaji wala humjali.kwa sababu flani flani.usiangalie sura
 
Mapenzi ni ishu si kwa wanaosoma hata biashara na kazi zinaweza zisiende

definitely ......mi hata kazini nashindwaga kukaa narudi hom nako hakukaliki yaani tabu tupu na nilivo na kamoyo kadogo sasa mpaka utanionea huruma
 
anti katika uhusiano usiwe negative....kuna watu wanapenda na wanaotamani,yawezekana wengi wamekutamani.hujabahatika kupata anae kupenda.nainawezekana anae kupenda kwa dhati we humuitaji wala humjali.kwa sababu flani flani.usiangalie sura

kweli kabisa asante kwa kunijuza hilo
 
Jishughulishe kuitengeneza future yako kwa ajili yako. Wacha kuwaza vitu ambavyo haviendani na wewe kwa sasa....Kila kitu kina wakati wake..wakati wako wa kufanya hayo mapenzi utafika.

jaman who is de best man for me????? Nimechoka kudanganywa daaah,,,eeh mungu nionyeshe mwanaume mwema..hadi kusoma nashdwa kisa mapenz daah mungu nisaidie,,,
 
huwezi kushindwa kusoma eti kisa tu mapenzi, wakati huyo mwanaume/mwanamke umejuana nae juzi tu. kwanza mahusiano na mtu si kitu ambacho kilikuwa planned miaka mingi huko nyuma. mara nyingi hutokea accidentally tu. wakikuzingua we we wa-skip tu kama nyimbo husizozipenda
 
sihitaji kuwa second wife for someone,,,,namtaka wa kwangu

omba sana usije kutana na tapeli...wanaume wana mbinu nyingi ukiingia kichwa kichwa unaeza kuwa hata watatu..
 
Come to me baby nikuoneshe unacho misssssssss
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…