My friend anakanyaga waya usiku wa leo. Nimsaidieje?

Hadithi za Alinacha, kwani huyo binti ana miaka 3? Usitake kutuletea habaria ya binti mwenye umri wa miaka 25 afu eti alizaliwa na UKIMWI.

Waambie hao hao....

usiwe mbishi. We meet every day na watu from thirteen to tweny years ambao waliambukizwa kutoka kwa mama. Inaweza kuwa story ya kutunga lakini ukweli ni kwamba kuna vibint vingi tena vizuri ambavyo dawa zimevikubali vipo sekondary. Kwenye hiv ujue kuna rapid progressors,slow progressors na cariers ambaye anaweza kuwaua nyie wote ye akaendelea kuishi bila dawa. Nakumbuka mama mmoja home mume wake alikufa toka 92 kwa dalili za hiv(miaka ile walisema amerogwa) na mtoto wao alikufa 94 kwa PAIDS lakini yeye yupo hadi leo na dawa kaanza 2005. Aliotembea nao humo njiani wengi wao na wake zao walishakufa! Kuwa makini ndugu lakini usimnyanyapae mwenye UKIMWI.
 
Niliwahi kusikia kwamba mwanaume akido na mtu + akishamaliza mchezo ndani ya 30min anakojo na kusafisha nanilu vizuri inasaidia kuzuia kupata maambukizo
 
usiwe mbishi. We meet every day na watu from thirteen to tweny years ambao waliambukizwa kutoka kwa mama. Inaweza kuwa story ya kutunga lakini ukweli ni kwamba kuna vibint vingi tena vizuri ambavyo dawa zimevikubali vipo sekondary. Kwenye hiv ujue kuna rapid progressors,slow progressors na cariers ambaye anaweza kuwaua nyie wote ye akaendelea kuishi bila dawa. Nakumbuka mama mmoja home mume wake alikufa toka 92 kwa dalili za hiv(miaka ile walisema amerogwa) na mtoto wao alikufa 94 kwa PAIDS lakini yeye yupo hadi leo na dawa kaanza 2005. Aliotembea nao humo njiani wengi wao na wake zao walishakufa! Kuwa makini ndugu lakini usimnyanyapae mwenye UKIMWI.

Nakubaliana na wewe jirani yetu walifariki wameacha mabinti 3 wote ni + wanakula vizuri wapo kidato cha 5. 4,1 ukiwaona wala huwezi dhania inaogopesha na kutia huruma
 
Hadithi za Alinacha, kwani huyo binti ana miaka 3? Usitake kutuletea habaria ya binti mwenye umri wa miaka 25 afu eti alizaliwa na UKIMWI.

Waambie hao hao....

Kwanza nani amekwambia ana miaka 25? Pili inawezekana sana maana kwa wale carriers huwa athari hazionekani lakini wao wanaambukiza wenzao.

Kuna mwanamke mmoja nilishamsikia akihadithi kwamba tokea alipopima mwaka 92 aligundulika na ukimwi na mpaka sasa yuko hai anadunda. Piga hesabu utaona inawezekana alishaathirika kabla lakini hakujitambua mpaka alipokwenda kupima.
 
hupaswi kujilaumu
mimi nina ndugu nilimwambia kabisa binti ana virusi
na still aka tembea nae bila kinga...
kuna vichaa wa aina nyingi mno....

kutangaza ugonjwa wa mtu sio sahihi
kwa hiyo hukukosea kutomwambia...
yeye ni mtu mzima anapaswa kujitunza yeye mwenyewe
 
Nakubaliana na wewe jirani yetu walifariki wameacha mabinti 3 wote ni + wanakula vizuri wapo kidato cha 5. 4,1 ukiwaona wala huwezi dhania inaogopesha na kutia huruma

Mungu tunaomba utusamehe dawa ipatikane!
maana sasa wanaumia hata wasio na hatia
 
hupaswi kujilaumu
mimi nina ndugu nilimwambia kabisa binti ana virusi
na still aka tembea nae bila kinga...
kuna vichaa wa aina nyingi mno....

kutangaza ugonjwa wa mtu sio sahihi
kwa hiyo hukukosea kutomwambia...
yeye ni mtu mzima anapaswa kujitunza yeye mwenyewe

Utu uzima dawa
 
huyu kaka ana roho mbaya sbb yeye ukute hana uhakika kama anao au la lkn akaamua kumlewesha mwenzio ili amuingilie bila kinga,yeye anaamini dada si mgonjwa sbb alimkuta yuko bikra lkn hakujali kuwa kama anao atamuambukiza huyo dada,bahati mbaya anaenda kuambukizwa yeye kama alikua hana.
 
Ni true case. Binti ni shemeji yangu na mwanaume ni rafiki yangu. Binti aliambukizwa HIV kutoka kwa mama yake wakati wa kuzaliwa, na aliniambia mwenyewe. Kupitia kwangu rafik yangu alimfaham huyu bint, na alipokuja niambia, alikuwa ameshamlala mara 2, mara zote akitumia condom kutokana shinikizo la bint. Jamaa anataka apige kav kwa sababu anasema siku ya kwanza alimkuta bikra so anamwamini. Kanitumia msg muda si mrefu kuwa leo kafanikiwa kumlewesha binti Amarula (bint alikuwa hanywi kileo!), bint yupo hoi kwa ulevi na jamaa ameamua kutumia hiyo chance kumuingilia bila condom. Aliponitumia msg nilikuwa tait sana sikuweza kuisoma, nilipokuja kuisoma nimempigia nakuta keshazima simu. Roho inaniuma sana kwa nini sikumwambia jamaa before, ingawa siku bint alivyonihadithia kuwa ni muathirika aliniomba sana nisimwambie mtu. nifanyeje?

Umemuua rafiki yako,ungemwambia kabla!MPUUZI MKUBWA WEWE!
 
mbakaji mkubwa huyo,anamlewesha makusudi mtoto wa watu ili amuingilie ???nenda polisi haraka kuipoti ale mvua zake na afie hukohuko,shame on him
 
Back
Top Bottom