- Thread starter
- #81
... land is not among agreement on any EAC protocol so keep salivating.
Tell me something i dont know.
... land is not among agreement on any EAC protocol so keep salivating.
I think u a in denial and gt a very low self esteem, I wil only advice u to get help and see reality. Just too bad wat a waiste.Why are you being so carnaptious? Let me tell you; I am neither perturbed nor addled by a numskull of your type. Your highfalutin only serves to show what type of a homunculus you are and that nyang'aus (not all Kenyans) are incompossible. Come back again you rasclaat!
gugu: weed, undergrowth, thicket, brush. Swahili Dictionary
Tell me something i dont know.
Here you talk like an addlepated yob who is full of nincompoopery. Your vituperation has no effect on me, FYI!I think u a in denial and gt a very low self esteem, I wil only advice u to get help and see reality. Just too bad wat a waiste.
With that croocked mindset of yours, maybe the devil will do!...God Bless EA
Ha! ha! ha! kweli wewe ni sijali kweli! Hujali hata kuchanganya mambo. Kwani mie nilisema siwezi kudisplay kazi yangu au nilisema cheo? kama hujui tofauti ya kazi na cheo basi itakuwa wewe ni mkenya na ninahisi utakuwa mkenya wa pwani.Na kama ungejua maana ya kazi usingepata mtazamo huo maana kuna watu wanauza vutunguu au nguo na wanaenda ktk nchi mbalimbali lakini wewe kwa ufahamu wako mdogo wa kiswahili umedhani naongelea cheo. Ujue kuwa tatizo sio chuki binafsi yangu kwa wakenya bali ni mtazamo wa watz jumla, kama unapinga basi fuatilia maoni kuhusu kuharakishwa kwa shirikisho Afrika mashariki ni asilimia ngapi ya watanzania walipinga? Halafu mie sikuweko Burundi kwenye mkutano wa EAC, hujaona wawakilishi wa TZ walivyo kataa katu katu juu ya ardhi, matumizi ya vitambulisho vya uraia badala ya passport na EAC security pact? Pili wanachama wengine ktk EAC wanalalam kila wakati kuhusu TZ kutotekeleza makubaliano, hayo yote ni kwa sababu yangu? kwa kuangalia hayo basi ukubali kuwa tatizo sio chuki binafsi yangu bali ni unyang'au wa wakenya. Kwani hata jina la manyang'au ni mie niliwapa wakenya? Tofauti kati yangu na wewe ni kuwa mie sipo tayari kufumbia macho tabia za wakenya ila wewe unajipendekeza sana kwao nadhani ndio wanaokuweka mjini.Typical Tanzanian mindset! Sasa cheo chako kinahusika na nini katika kuchangia hoja. Hata kama wewe ni JK, so what?
Tunazungumzia hoja hapa.
Nilivyokutathmini una chuki binafsi na Kenya, na hizi ndio unazozipika kuzifanya ni chuki za uzalendo zitakazoisaidia Tanzania. Hakuna nchi duniani inayojengwa kwa chuki, bali kwa maslahi.
Pili: wewe ni mtu wa one-issue mentality. Yaani inakuwia vigumu kutasawari picha kubwa (to have a bigger picture). Umeshikilia ardhi , ardhi, ardhi.... zaidi ya ardhi? Na mbona ni Kenya tu? Hata Rwanda hawana ardhi, tena zaidi kuliko Kenya. Badala ya kufikiria practical solution.....kwa mfano serikali ya Tanzania ku-survey ardhi yote na kuwamilikisha Watanzania na kuweka masharti ya end-user etc..unataka tu serikali ing'ang'anie viplot! Hiyo ndiyo kazi ya serikali?
Halafu nakushangaa sana. Hujasikia mashirika mawili ya Marekani ya Agriculture yamekatiwa zaidi ya ekari milioni kuanzisha Agro-industry sehemu za Rusumo? Nani mwenye hatari zaidi hapa, ni Wamarekani kuchukua ardhi (ambayo hamtaweza kamwe kuirudisha, kwani wataweka masharti katika mikataba, sawa na ardhi yenu iliyochukuliwa na wachimba migodi), au Wakenya ambao hata wakinunua utaweza kupita na kuomba maji ya kunywa?
Kama wewe kweli ni mmoja wa decision makers huko Tanzania.......... May God have mercy on us!
With that croocked mindset of yours, maybe the devil will do!
You are welcome. Have a nice weekend!if it works for you mate i have zero resolve to be an impediment.thanx
The best would be to moderate ourselves first!Do we have mods here?? or is it too much to ask??
there you go, and then you cry out for mods; huh?huh!....speak for your self.
there is certainly a lot of empty tracks of land in kenya, but the scale in tz just seemed more, especially with regard to arable land.
what do you mean im a liar??