My first time in Tanzania

Status
Not open for further replies.

totally i dont agree with you.you was supposed to say "the hotel was clean"
View attachment 44689

these pics were taken in the city.and i hope you will upload some pics
 
Siku moja nimesafiri na mama mmoja kutoka Namibia. Tulipanda basi Dar-Arusha. Njiani tukaanza kuongea hasa tulipokaribia Korogwe.
Akaniuliza,"hivi Tanzania hamna jangwa?" Nikamjibu, kwa nini? Akasema amesafiri kwa gari kutoka Namibia, kupitia Zambia, Malawi na hadi Tanzania lakini tangu alipoingia Tanzania kuanzia Tunduma hadi Korogwe ameona ni ardhi ya kijani tu. Watanzania yatubidi tutambue kuwa tumebarikiwa na ardhi nzuri. Ni lazima tuitumie hiyo ardhi kujineemesha na kuneemesha bara la Afrika. Kwa hiyo ndugu yangu Mnairobi unakaribishwa sana Tanzania. Hatuwaogopi Wakenya, kwani hawa ni ndugu zetu wa damu.
 
Because you said Dar looked clean . We know other way around . Dar is disgusting. Who knows maybe is cleaner than Nairobi . .
Anyway thank you for the lovely feedback..
if the guy is trying to tell us that dsm is clean..can you imagine how nairobi look like? i even scare to visit mwai kibaki city
 
Because you said Dar looked clean . We know other way around . Dar is disgusting. Who knows maybe is cleaner than Nairobi . .
Anyway thank you for the lovely feedback..

i also appreciate his lovely feedback.
 
At last, hii thread iko a bit balanced kuliko zile thread nyingi ambazo majirani kati ya TZ na KQ wanapanua midomo yao ili kuyapa mazoezi mapafu kusema mbofu-mbofu..

Ukiacha propaganda za wanasiasa, hasa za wale wenye kudai posho toka Elfu 70 hadi laki 2 wakati maisha ya uswazi ni dhiki ya kufa, Sometimes, jirani yako m-KQ etc..anaweza kuwa mkarimu wakati wa shida kuliko M-TZ mwenzako.... Anyway, akili ni nywele.......na hii ni Bongo country..
 
karibu tena Mnairobi...safari ijayo upitie pitie na mitaa ya huku kusini tule Kambale...samaki wanono sana
 

Ahsante sana. Kweli nillikuwa najiuliza kutakuwaje iwapo ningefika mwanza through dodoma. im sure it would be a hell of a trip. And its true a majority of the Tanzanians seemed ok to me
 

Not interested in Nyang'aus..they can visit though and they shouldn't be harmed..lakini mwisho ni hapo tu. Kwa hiyo mkenya ana uchungu gani na TZ? Inamhusu nini? all foreigners should be treated fairly kwa kufuata utaratibu na sheria za wageni, lakini TZ si nchi ya kuhamishia matatizo ya watu! Tusisahau pia kuwa kuna watanzania wana kasumba ya kujikomba kwa wageni, bila kujua realities za wanakotoka..ili mradi tu aonekane yuko karibu na Mkenya or whatsoever..wenye akili ndogo kama hiyo wapo pia!
 

I would prefer if you didnt derail the thread.
 
I would prefer if you didnt derail the thread.

By which definition of derailing..the post responded to was referring to Tanzanian family that got kicked out of Kenya leaving their kids there. I meant we shouldn't be like you fools (if all)!. Wakenya hawaji TZ kwa sababu wanapapenda, ni njaa, biashara na ku take advantage ya mifumo mibovu ya sheria na usimamizi, like Chinese, arabs, pakistanis etc!
 
mnairobi
Our land belong to next generation'msiumize vichwa kwa hilo
 
mnairobi
Our land belong to next generation'msiumize vichwa kwa hilo

Mr. Director, your land belongs to this generation, make use of it now to benefit you and your next generation. This applies to kenya too btw.
 
I would prefer if you didnt derail the thread.
 
Mkaribisheni, akirudi safari hii hacheki na mtu tena ni kazi kazi.
 
Well another interesting thing i noticed is there isint much urban poverty in TZ as in KQ, though the rural folk did seem really poor. But again, my views could be really just one dimensional as i did not have enough time to travel round the country and cities.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…