My Eyes On Presidential Race 2015: Charles Julius Kambarage Nyerere Vs Dk Wilbrod Slaa

Rudini kwenye hoja.
Je anafaa kuwa rais wa Tanzania?

Nishajibu hili, unasoma?

Makongoro amefanya kipi cha tofauti kustahili kupata urais?

Au tunasujudia jina tu?

Tunataka kumfufua Mwalimu Nyerere, tumeshindwa, tunaona usultani wa kumpa urais mwanawe ndio utakuwa the next best thing?
 
Kwa formula gani?

Kizanaki kabila lao halitumii formula hiyo, kila mtu anapewa middle name yake. Ndiyo maana hata baba yake ana middle name yake (ambayo si jina la baba yake). Middle name hiyo ni Kambarage.

Kikatoliki hakuna mtindo wa kufanya jina la baba kiwa muendelezo wa jina la mtoto.

Wewe unatumia formula gani?

Halafu kama hujui jina la babu yake ni Burito na si Bulito you are not qualified to be a fanboy.
Haya bhana Kiranga mie natokea kanda ya ziwa Ushashini [Msukuma Vs Mkurya] R na L vinatusumbua.Ila siitaji kuwa FANBOY wako kwa kuwa mimi JF ni jukwaa langu la kujifunza na kutoa mawazo yangu ili mradi sivunji sheria.Na siko hapa jukwani kushindana kuonekana mie najua sana bali ni sehemu pia ya mie kujifunza.

Ni kweli wazanaki wanaweza kuwa na mfumo wao huo wa matumizi ya jina hilo....la kati na uenda Mwalimu pia alipenda kutumia jina hilo Kambarage

Lakini mfumo wa Tanzania FORMAL ni

NAME: Charles
MIDDLE NAME: Julius
SIR NAME: Nyerere

Sasa sioni tatizo kwa style hiyo mimi kuitumia kwa kuwa najua ubini wa Baba yake JULIUS KAMBARAGE NYERERE hivyo kutumia jina la Kikatoliki la Muhusika la Charles ni kufanya makosa sikuelewi....Pia hatulazimishwi kukalili tuna fikra huru zinazotufanya kufikilia kile kinachoweza kuwa sahihi,Mfano

Kama CHARLES kwa jina jingine ni MAKONGORO
Na kama Mwalimu Julius Nyerere jina jingine ni KAMBARAGE

Basi si ajabu pia CHARLES kuamua kutumia MAKONGORO KAMA OFFICIAL NAME

Hivyo pia yaweza kuwa
NAME:
: MAKONGORO
MIDDLE NAME : KAMBARAGE
SIR NAME: : BURITO

Manake kwa watanzania hatakuwa wa kwanza kutumia mfumo huo kwani ni wengi tu kama kina BUJAGA IZENGO KADAGO.

Ni uamuzi tu

Ungenisaidia kujua MAKONGORO NI JINA LA NANI?Je ndio jina la kupewa la muhusika kama lake binafsi likiwa ni mbadala wa jina la kidini la Charles au ni jina analotumia kama sehemu ya utambulisho akitanguliza baada ya jina lake la kidini lakini likiwa si lake bali ni jina katika mlolongo wa majina yake ya kifamilia.

Mwalimu aliitwa JULIUS KAMBARAGE NYERERE ndio kusema nae mwanawe atambulike kwa jina la CHARLES MAKONGORO NYERERE.
 
Nishajibu hili, unasoma?

Makongoro amefanya kipi cha tofauti kustahili kupata urais?

Au tunasujudia jina tu?

Tunataka kumfufua Mwalimu Nyerere, tumeshindwa, tunaona usultani wa kumpa urais mwanawe ndio utakuwa the next best thing?

Mkuu sikuisoma uliyojibu.
Binafsi tuna sail the same boat... yaani bado sijaona mashiko katika maandishi mareeeefu ya ndugu yetu DSN.
 
Last edited by a moderator:
Nishajibu hili, unasoma?

Makongoro amefanya kipi cha tofauti kustahili kupata urais?

Au tunasujudia jina tu?

Tunataka kumfufua Mwalimu Nyerere, tumeshindwa, tunaona usultani wa kumpa urais mwanawe ndio utakuwa the next best thing?
Waulize wazee wa NEC nani ambaye humweleza na kumsema JK kama mtoto mdogo.
Mambo yote ya ufisadi yalikuwa yakisemwa katika chama... Ndio maana huwezi kusikia viongozi wakiropoka maana wanaamini hivyo ni kukibomoa chama.
Charles alikuwa ni Bomba la kuelezea maovu.
Amini nawaambie, Slaa atamuunga mkono.
 
  • Thanks
Reactions: DSN

Kueleza maovu ya JK mbona kila Tom, Dick and Hamisi anafanya Tanzania?

Hicho kina m distinguish vipi Makongoro?
 
Nchi hii watu wamepindua usultani kwa damu. Baba yake huyo Makongoro mwenyewe alikuwa mmoja wa strategist wa kuondoa huo usultani.

Kwa nini mnataka kurudisha usultani?

Cc Andrew Nyerere

Kuwa mtoto wa kiongozi hakumuondelei HAKI yake ya msingi kugombea uongozi au kuchagua wengine eti kwa kuwa tu Baba yake alipata kuwa Rais.Tena ona aibu Kiranga angekuwa hai Baba yake nae akaingia kwenye siasa, Baba yake akiwa madarakani tungesema basi kabebwa na Baba yake.Lakini mtu ambae yuko kwenye siasa kwa namna yake mwenyewe bado unataka kumvisha unavyovijua wewe.Ebu achemi hizo.....What goes Around Must Come around...Kama akisema anaomba basi HAKI ya kugombea ni HAKI ya msingi na ni jukumu pekee la chama chake kumpa fursa hiyo au la kumpa Mwanachama Mwingine wa CCM kwa kuzingatia mahitaji ya chama husika kupitia ushindani wa vigezo vitakavyo kidhi maitaji ya chama chao kwa jinsi walivyojiwekea.
 
Kiranga . . .uko sawa mkuu

Ana nini huyu mtu mpaka apewe ofisi kuu, kafanya kazi wapi na lini inayomoa sifa hizo???!!

Nchi hii utumwa uko wa aina nyingi sana. . . .
 
Last edited by a moderator:
Kuwa mtoto wa kiongozi hakumuondelei HAKI yake ya msingi kugombea uongozi au kuchagua wengine eti kwa kuwa tu Baba yake alipata kuwa Rais.Tena ona aibu Kiranga angekuwa hai Baba yake nae akaingia kwenye siasa, Baba yake akiwa madarakani tungesema basi kabebwa na Baba yake.Lakini mtu ambae yuko kwenye siasa kwa namna yake mwenyewe bado unataka kumvisha unavyovijua wewe.Ebu achemi hizo.....What goes Around Must Come around...Kama akisema anaomba basi HAKI ya kugombea ni HAKI ya msingi na ni jukumu pekee la chama chake kumpa fursa hiyo au la kumpa Mwanachama Mwingine wa CCM kwa kuzingatia mahitaji ya chama husika kupitia ushindani wa vigezo vitakavyo kidhi maitaji ya chama chao kwa jinsi walivyojiwekea.

Acha maneno mkuu weka sifa zake over others kama anafaa itafahamika. . . . . .Let facts speak
 
Kuwa mtoto wa kiongozi hakumuondelei HAKI yake ya msingi kugombea uongozi au kuchagua wengine eti kwa kuwa tu Baba yake alipata kuwa Rais.Tena ona aibu Kiranga angekuwa hai Baba yake nae akaingia kwenye siasa, Baba yake akiwa madarakani tungesema basi kabebwa na Baba yake.Lakini mtu ambae yuko kwenye siasa kwa namna yake mwenyewe bado unataka kumvisha unavyovijua wewe.Ebu achemi hizo.....What goes Around Must Come around...Kama akisema anaomba basi HAKI ya kugombea ni HAKI ya msingi na ni jukumu pekee la chama chake kumpa fursa hiyo au la kumpa Mwanachama Mwingine wa CCM kwa kuzingatia mahitaji ya chama husika kupitia ushindani wa vigezo vitakavyo kidhi maitaji ya chama chao kwa jinsi walivyojiwekea.

Suala siyo kumuondolea haki yake ya kimsingi ya uongozi, kuna wahuni kibao ambao hawafai hata kuwa baba wa familia licha ya rais wa nchi, na wana haki zao za kimsingi za kupigiwa kura kuwa rais.

Sasa zaidi ya haki ya kimsingi, ambayo wahuni kibao ambao hawastahili hata kuongoza familia wanayo, Makongoro kafanya kipi cha kustahili urais?

Why are you using the lowest common constitutional requirements as a basis for a job whose criteria requires the highest standards?
 
sijasoma andiko lako lote lakini hizi ni miongoni mwa pumba katika bandiko lako. hivi utendaji wa mtu unapimwa kwa kuangaliwa usoni? au unakopi tu kisa nyerere alisema? mkapa ana very serious face ni kinyume chake Kikwete; je unaweza kutofautisha ufisadi uliofanyika kwa watu hawa wawili? kwa staili hii muda sio mrefu mtaanza na kumuabudu nyerere kabisa. I see, it is just a matter of time.

Ukibisha Waangalie Charles Na Slaa Nyuso Zao,kisha kumbuka wosia wa Baba wa Taifa kwamba tukikuangalia usoni tuseme huyu nae....akimaanisha kuwa kile unachokitetea na kukisema tunaweza kukisoma kwenye sura ya msemaji na wapokeaje wakaamini bila wasiwasi kuwa yasemwayo na msemaji wako pamoja nae kuyasema na kuyatete popote pale.
 
Tanganyika hatuwezi kuiga mifano mibovu ya kuridhisha watoto wa Marais kama ilivyotokea Znz, Kenya, Drc na kwingineko. Na pia hatuwezi kuiga ulaya hususani Amerika kwa sbb Amerika imekomaa kidemokrasia haiwezi kuathirika kwa kuridhisha viongozi. Na tukifanya kosa kwa Makongoro kesho it's kuwa zamu kwa mwinyi, mkapa na baadae kwa kikwete.HAIKUBALIKI KABISA.
 
Ukisema Edga Lungu unamaanisha nini na hapo ukasema EL ungetumia EL pekee ningejua unasema nini...Lakini ni sawa na kusema PANGA kisha ukusema kwa hakika nini?

Ungesema PANGA ukasema kifaa au tendo basi ingekuwa na maana njema...be specific na hiyo EL kama ni Tanzania au Zambia.Uliposemaa Edga Lungu umepoteza maana halisi ambayo ulitaka kuifikisha.
Kaeleweka.
 
sijasoma andiko lako lote lakini hizi ni miongoni mwa pumba katika bandiko lako. hivi utendaji wa mtu unapimwa kwa kuangaliwa usoni? au unakopi tu kisa nyerere alisema? mkapa ana very serious face ni kinyume chake Kikwete; je unaweza kutofautisha ufisadi uliofanyika kwa watu hawa wawili? kwa staili hii muda sio mrefu mtaanza na kumuabudu nyerere kabisa. I see, it is just a matter of time.

Sasa Abunuas kama Abunuas atajua bandiko langu kweli wakati mtu mwenye hamnazo ka Abunuas....aliwazalo mpumbavu /mjinga ndilo limtokealo....ukijua maana yake kwa waerevu kitendo cha wewe kuwaza kuwa Nitakapoingia Jamii Forums na kuwa member ili kuficha identity yangu nitatumia Avatar yenye jina la ABUNUAS..

Sasa kwa mwerevu huo ni ujinga kama sio upumbavu ...yani ndio kusema mwisho wako wa kufikilia kuhusu Avatar itakayo reflect who your behind the key board ukatuletea UABUNUAS.Nakumbuka kwenye vitabu vya enzi ya Alfu rela Ulela mtu kama Abunuas kwa leo ni Looser.

Na hata kiswahili swahili kwetu usukumani ukipita mitaa ya kirumba wasiko jua kiswahili kwa ufasaha kama wa mitaa ya manzese bahati isiyo njema mkapishana kauri ukamwita ulie pishana nae eti ABUNUAS utakiona cha mtem kuni, kama uta gawana nae majengo ya Serikali wewe wapelekwa Sekou Toure Hospital yeye anapelekwa Polisi Kirumba.

Ili tuujibizane nawe kana kwanza UBUNUAS wako wa hiari uliojipaki mwenyewe kwa hiari...it tells me who your!!!Ukiondoa avatar hiyo njoo nikujibu....
 
porojo.
najua huwezi kujibu hoja maana imekufanya ile mbaya. eti raisi bora anaonekana usoni! utaahira wa aina yake huo. msukuma zake ng'ombe akiwa kariakoo utamkuta kashikilia radio anasikiliza katito.
(NB; after all muache kuua albino na vikongwe. huo ni upumbavu wa aina yake na mnaliletea taifa aibu.)

Sasa Abunuas kama Abunuas atajua bandiko langu kweli wakati mtu mwenye hamnazo ka Abunuas....aliwazalo mpumbavu /mjinga ndilo limtokealo....ukijua maana yake kwa waerevu kitendo cha wewe kuwaza kuwa Nitakapoingia Jamii Forums na kuwa member ili kuficha identity yangu nitatumia Avatar yenye jina la ABUNUAS..

Sasa kwa mwerevu huo ni ujinga kama sio upumbavu ...yani ndio kusema mwisho wako wa kufikilia kuhusu Avatar itakayo reflect who your behind the key board ukatuletea UABUNUAS.Nakumbuka kwenye vitabu vya enzi ya Alfu rela Ulela mtu kama Abunuas kwa leo ni Looser.

Na hata kiswahili swahili kwetu usukumani ukipita mitaa ya kirumba wasiko jua kiswahili kwa ufasaha kama wa mitaa ya manzese bahati isiyo njema mkapishana kauri ukamwita ulie pishana nae eti ABUNUAS utakiona cha mtem kuni, kama uta gawana nae majengo ya Serikali wewe wapelekwa Sekou Toure Hospital yeye anapelekwa Polisi Kirumba.

Ili tuujibizane nawe kana kwanza UBUNUAS wako wa hiari uliojipaki mwenyewe kwa hiari...it tells me who your!!!Ukiondoa avatar hiyo njoo nikujibu....
 
muanzisha thread ana fantasies nyiiingi kichwani kwi kwi kwi kwi hatuwezi kuwa na utawala wa kiimla nchi hii riziwani yeye anapita mikoani kumpigia chapuo baba yake mdogo membe
 
Duh! Ina maana u-rais unataka kuzunguka kwenye familia ile ile (na je, unamaanisha Membe ni mdogo wake na Jakaya?)!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom