2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,361
- 6,080
Tangu mwaka Jana nilikua nieleze lakini kwasababu mbalimbali za uvumilivu nikaamua Kuvumilia.
Kama Mteja wa (Premium User).
Unaweza tumiwa Meseji umeshinda Ofa ya Huduma bure kipindi fulani. Lakini ikifika wakati Hiyo Huduma inakua haipo. Ukipiga simu kuwauliza, wanachukua Details za King'amuzi na namba za simu.
Kisha wanakujibu subiri wanashughulikia mara moja.
Mfano Error 19.
Baada ya hapa, itafuata usumbufu maana hautaona chochote. Na kila ukipiga anakua mhudumu anataka umpe details upya.
Baada ya muda Mrefu ukiendelea kujipendekeza kuwapigia. Ndipo wanakujibu ofa ilikuja kwako kimakosa. Na hapa wanakujibu baada ya kuwasumbua sana.
Unajiuliza Ofa ilikujaje kimakosa bila wao kuwajibika. Unakosa pa kulalama.
Mwaka jana nililipia DSTV. Wakanijibu kwa ujumbe hela wamepata. Muda umefika hawakunipa huduma yangu ya premium.
Juzi nawapigia wanakataa kua hela haikufika kwao.
Lakini meseji ya kuwapelekea Hela niliwatumia na ina tarehe kabisa. Na wakaijibu kua wamepokea. Sasa nikisema hawa jamaa ni majambazi siwatusi.
Ni mara afadhali, Star Times wanajali wateja wao kwa 100%. Hawa wa DSTV ulimbukeni umewaelemea sijui wanajiona wazungu sana. Wapuuzi kwelikweli.
Sent using Jamii Forums mobile app