My ex is back

My ex is back

waungwana wanasemaga shetani akizeeka anakuwaga malaika, hii sijui ni kweli, ila mimi ninavyojua shetani ni shetani tu; ila huyo siyo shetani ila shetani alimtumia tu, mpe nafasi ingine labda amejifunza
 
Nakubali kuwa kichaa kwa kusema ukweli. Fanya tathimini ya ushauri unaotolewa hapa utagundua wote ni wa kubomoa tu. Maisha siyo hivyo, kuna kusameheana na kusonga mbele katika maisha ya kimapenzi. Uliza watu waliodumu katika mapenzi/ndoa kwa muda mrefu kama miaka 20 na zaidi utaona haya yote ni madogo lakini uvumilivu ndiyo msingi wa kulea upendo. Dawa ya moto si moto bali maji. Naishia hapo maana daktari wetu hapa Bugando (wa vichaa) ananiita anipe dawa-)

Kuna vya kusamehe sio kila mauzi ni ya kusamehe, huyo mwanaume amekata mahusiano mwaka na miezi 3 alf leo anarudi unampokea.
Wewe ungeweza
Kuna mambo ya kuvumilia sio umalaya wa mtu wangapi wamevumilia uhuni wa waume/ wake sasa wameishia kuletewa maradhi HIV kisa ujinga wa kuvumilia na kuogopa utakuwa na wangapi much better uwe hata na kumi wa kumi na moja ndie sahihi kwako kuliko kuwa na wawili na 3 ndio msalaba wa maisha yako

Pesandogo huyo mwanaume hafai hata kidogo amekuona wewe mjinga tena taira anajua ni rahisi kuja kwako kwa kuwa wewe ni kipoozeo chake watch your self
 
labda upeo wa kuyatazama maisha ya mapenzi ni tofaut ila kwa mm binafsi kn kuna uvumilivu nitakuwa nao basi ni ktk ndoa tena sio wa kupangiwa folen na maradhi haya, ila si kwenye mapenzi...

pima kina cha maji bi,-dada kabla hujaamua kuingia tena ikiwa ni pamoja na kupima afya zenu.

pia ujue msimamo wake mtaongeza miaka mingapi ktk mahusiano..lol!
 
Huo muda wa mwaka na miezi 3 believe me he was with another na sasa huko pia ameharibu....Vicious cycle.
 
Kuna vya kusamehe sio kila mauzi ni ya kusamehe, huyo mwanaume amekata mahusiano mwaka na miezi 3 alf leo anarudi unampokea.
Wewe ungeweza
Kuna mambo ya kuvumilia sio umalaya wa mtu wangapi wamevumilia uhuni wa waume/ wake sasa wameishia kuletewa maradhi HIV kisa ujinga wa kuvumilia na kuogopa utakuwa na wangapi much better uwe hata na kumi wa kumi na moja ndie sahihi kwako kuliko kuwa na wawili na 3 ndio msalaba wa maisha yako

Pesandogo huyo mwanaume hafai hata kidogo amekuona wewe mjinga tena taira anajua ni rahisi kuja kwako kwa kuwa wewe ni kipoozeo chake watch your self
Wakati mwingine tunasahau kitu kimoja kuwa mwanaume anayehanja akijifunza kuwa mabucha ni mengi ila nyama ni ile ile na anataka kutulia anachagua anayeona atamfaa na atarudi kwako. Wewe utafikiri anakufanya kipozeo kumbe the difference is the case! Tumshauri asamehe kwani kakua.
 
mtu ambaye humuombi hata sh. Mia kwanini akunyanyase, hili ndo swali hasa
Atakuwa anatest kama wewe ni mwanamke wa kuolewa. Jaribu utakuja niambia. Ukiona mwanaume amekuacha na akarudi jua anakupenda sana!!!!! Hili halina ubishi. Rudisha roho mpende tena utaenjoy the rest of your life. Merci
 
I doubt that, Hilo la kuenjoy !
 
I doubt that, Hilo la kuenjoy !
Niamini mama, rudisha mapenzi na mwanadamu ameumbwa kusahau. Fikiria mtoto wako anakufa unadhani huwezi kusahau ila akiingia kaburini kidogo kidogo unasahau na mwisho wa siku unasahau. Jaribu utaona
 
Sasa umefika wakati, wanaume tubadilike. Tuna tabia mbaya sana kama ya huyo jamaa hapo juu alieandikwa na mwenye thread hii.
 
hivi watu kumbe wanakumbwa na maswahibu enheeeeee:tape::tape::shock::shock:
 
Wewe bi dada achana na huyo, njoo kwangu uyaone maisha ktk mwanga bora! Karibu!
 
kama moyo wako upo tayari kumsamehe.., msamehe tu. lakin jiandae kuumizwa. for sure jamaa haez acha tabia yake, akisha kuoa ndo atazidisha kabisa.

its up to ya to choose.
 
kama moyo wako upo tayari kumsamehe.., msamehe tu. lakin jiandae kuumizwa. for sure jamaa haez acha tabia yake, akisha kuoa ndo atazidisha kabisa.

its up to ya to choose.

Asante kwa ushauri
 
Sasa umefika wakati, wanaume tubadilike. Tuna tabia mbaya sana kama ya huyo jamaa hapo juu alieandikwa na mwenye thread hii.

Labda mkiambiana wenyewe ndo mtabadilika, kiujumla wanaume mmekuwa watu wa hovyo kitabia na utu
 
Back
Top Bottom