My ex has stopped to be a man....nimfanyeje?

Mwambie hizo picha tunazisubiri hapa JF (Jock)!
Naamini anakutishiti tu ili umkubalie, sababu kufanya hivyo naye atadhalilika, kwahiyo burudika tu na fundi wako, ila wala usimjibu, mpotezee!

yeah! Ful kumpotezea!
 
The guy has stoped to be a man kwa kweli! Though Tumeachana muda mrefu na kila mtu akawa na mahusiano mapya ananiharass! Nilipata mtu mwenye pato dogo kuliko la ex wangu ni fundi cherehani ana ka-workshop kake wakati ex alikuwa kazi nzuri, pato zuri na kagari. Jana from no where ameanza kunitumia msg kuwa hapati ucngz na ananipenda ila ako na msichana mdogo mdogo amepachika tatoo kila mahali zimeandikwa jina lake. Eti ananisikitikia kwa kujishusha hadh kutoka kulala hotel nyota tano mpaka gest za elfu 10, anataka kujua huyo fundi cherehani ako na nini kumzidi? Nilimjibu kuwa am happy with my man though he isnt rich na pia nafurahi kuwa amepata binti dogo dogo aliejichora jina lake kila mahali...nilipomjibu hvo akaanza kuniambia nina nyodo na kiburi na msg zangu zote pamoja na picha tulizopiga pamoja atazibandika hapa jf, fb na kwa notes board ya ninaposoma. Pia atazifanyia photo shop za wadada walio uchi aweke sura yangu aone nani ataumia kati yetu. Nimebaki na mawazo je kilichomtia hasira mpaka aje anisumbue na kunikashfu ni nini? Je wanaume mkiachwa na nafasi zenu kuchukuliwa na watu mliowazidi hasa pato inawakera eeh? Je akijaribu kuniphotoshop nimfanyeje? Nipeni mawazo wakuu...! Nyc weekend

LET HIM GO... Coz your Destiny is never tied to any body who left...
 
Aisee uyo ex angepigwa red 'X' chata,uson ili Gari la manispaa taka wakimuona wamzoe,akil fupi kama nanhii yake..shost usimuogope,usimjibu,usimpe chance ajue unahofu..akiweka picha,nawe edit zake akiwa anafanywa nyuma tena na mbuzi au mbwa,af umbandikie ofisin kwake,au wasiliana na wadaku wa magazet ,af tuone.coz za kike tushazoea,atest zali!..alaah me ayo matahira cyapatagi..kwa bahat njuli au mbaya myx,ni myfriend na bznes patner wangu,.if u cant fight me,join me rule,imeplay part!
Me uyo mtu kaniboa! Pole mwaya.
 
Kweli huyo sio mwanaume.Mdharau na mpuuze,kinamchomfanya ajisikie hovyo ni wewe kuwa na mtu anaedhani wa chini.Sijui itachukua muda gani mpaka watu wajue kuwa thamani ya mtu haiko nje bali ndani.Anajiumiza bure yeye akubali matokeo tu!
 
Aisee uyo ex angepigwa red 'X' chata,uson ili Gari la manispaa taka wakimuona wamzoe,akil fupi kama nanhii yake..shost usimuogope,usimjibu,usimpe chance ajue unahofu..akiweka picha,nawe edit zake akiwa anafanywa nyuma tena na mbuzi au mbwa,af umbandikie ofisin kwake,au wasiliana na wadaku wa magazet ,af tuone.coz za kike tushazoea,atest zali!..alaah me ayo matahira cyapatagi..kwa bahat njuli au mbaya myx,ni myfriend na bznes patner wangu,.if u cant fight me,join me rule,imeplay part!
Me uyo mtu kaniboa! Pole mwaya.

ur ex is a gentleman! Ni wachache wanaweza kubehave that way! Thanx!
 
Really.!! "IF YOU CAN'T FIGHT ME, JOIN ME"... I like it...
 
ur ex is a gentleman! Ni wachache wanaweza kubehave that way! Thanx!

kwel,i thank God 4that,.kila m2 anawake,n 2najuana na kutaniana now,though mwanzoni ilikuwa ngum,but now na mchezo tunacheza,upatu.
 
Sabry001 pole mama. Shit happen sometimes. Usbadlshe namba wala ID kwasababu utatuadhbu tusiokuwa na hatia... Wangu, skuzote ukimya unakele kuliko bomu. Mpuuzie ila sms ya kitisho, au namna nyngne ya vtisho hifadh ushahd na ukiona anazdsha toa taarfa ktuo cha polisi....yote kwa yote mtese kwa kunyamaza
 
Last edited by a moderator:
mwambie tu siwezi kuzuia unachotaka kufanya,fanya kitu roho yako inapenda,atakuchafuta ila itasahaulika,je baada ya hapo atafanya nini tena
 
Hongera sana kwa kuchagua maisha yaliyo nafuraha kwako, anachofanya huyo ex wako ni mkwara tu, simama ktk msimamo wako na iwapo atakufanyia ubaya wowote mpeleke ktk vyombo vya Sheria.
 
Pole sana kwa yote lakini naomba niende mbele zaidi kama funzo kwa wengine kuwa ktk mapenzi ya dhati..kuwa finance or material possession ni vitu ambavyo huja last na sio mwanzo. I wish you all the best in ur new found love.
 
Back
Top Bottom