My ex-girl ananifuatlia facebook

inaweza ikawa sio tatizo kama kila mtu ana hamsini zake. Lakini mnafuatana mpaka kwenye tags, ukicoment akuulize huyo nani? Thats too much wala haihitaji uende jf kupata ushauri!

jamani being your x doesnt mean is ur enemy. huyo anatakiwa kuwa rafiki yako ambae mnaweza kusalimiana, kusaidia pale mmoja anapokwama na hata kurudiana kama kuna haja ya kufanya hivyo!!n.k n.k. Hayo mambo ya kukerwa kwenye USOKITABU wala si tatizo kubwa, muache tu aendelee na pale unapoweza kumjibu mjibu tu atachoka mwenyewe
 
Yaani aliniudhi kupita kipimo nkamu, na sasa anaendelea kuniudhi kwa kunitafuta kwenye simu. Ningependa anisahau kabisa kama nami ninavyo msahau, ni king'ang'anizi sana. Njanga ghwee.

Mkuu tarifa yako utata mtupu,usumbufu kwnye Fb au kwnye cm?
 
Wadau my ex gal wangu cjui ananitafuta uchokozi gani,ananifuatlia sana facebuk,kila nkicomment kwa msichana yeyote lazima aniulze ni nani wangu,ananitagg picha zake bila ruhusa yangu,jana kanitagg picha ya mkaka flan hv ambae nahisi ndo anae mkamua sa hz, nkajarbu kumuulza akanijbu kimkato tu..nimemchmba mkwara lakn naona hausaidii.naombeni mawazo yenu yenye busara ya hatua gani za kuchukua!over

Sasa tayari umesema X GF wako...we mpotezee tu au bado unammind???
 
Easy, mdelete katika list ya friends wako, then weka restrictions katika profile yako nani anaweza iona na nani hawezi, kwenye kutag pia unaweza chagua nani akutag mfano ukiruhusu friends tu after umeshamdelete then hawezi kukutag tena. Ni hayo tu
 
Nawewe pia unayataka,kwani ukimpuuza utapungua nini? kama umesema ni X wako basi achana nae unamulizia nini huyu nani au yule nani,muachie usimulize chochote yani fanya kama hupo na wala hujawahi kukutana na kituko kama hicho...
 
uyo bado anakupenda mkuu kama vipi aitakua mbaya rudi kundini uanze kukamua si kaja mwenyewe:lalala:
 
Back
Top Bottom