My ex-gf!

Pole sana,
Ila all these as matured being tumeyapitia.
Let life take its course and make charge to a new beggining.

I am a woman, so I am aware to ladish triks,

She is playing you, na atakumwaga tena in a near future.

Takea.
Please people maisha ya ndoa msiyafikirie kwa upeo wa matamu tu! Thing also of the uchungu, maumivu frustrations e.t.c. huyo aliyeweza kukutoroka kwa ajili ya makaratasi ya ulaya (mngepanga wote sawa) then akawa na moyo wa kuplan kumtaliki huyo alompatia huo uraia..... just think what she could do to you atakapokuchoka!!
Geoff
what I can tell you ni kwamba DONT TRUST WOMEN.... Except your mother! did I say that?!! mh!
Stay committed with your current gf. About x-gf,tell her there is time for everything..You had your time together with her and she dumped you,then you moved on.
Always fight easy temptations!

...daaah, ama leo 'sindano' zenu zimenikumbusha uchungu mkubwa!

THANK U VERY MUCH!
but mwanajamii,why this woman is that much wicked?

...Geoff, hata mimi huwa najiuliza 'joka-nyang'au' aliyepata kuniuma miaka sita iliyopita ilhali uchungu nausikilizia mpaka leo, ana roho mbaya kiasi gani!

Zingatia ushauri uliopewa Bro. Kila la kheri.
 
...daaah, ama leo 'sindano' zenu zimenikumbusha uchungu mkubwa!

...Geoff, hata mimi huwa najiuliza 'joka-nyang'au' aliyepata kuniuma miaka sita iliyopita ilhali uchungu nausikilizia mpaka leo, ana roho mbaya kiasi gani!

Zingatia ushauri uliopewa Bro. Kila la kheri.

OOH POLE SANA MKUU!nilidhani nipo mwenyewe 'mjeruhiwa'.the way ninaposoma post yako ninapata feelings nzito as if wewe una 'kidonda kikubwa' zaidi yangu...................
LOL!jamani wanawake hawa ni mama zetu lakini,dah!
yaani,dah!anyways........
 
lol
nasubiri madongo maana ........ but on serious note ukishaumwa na nyoka mara moja unatakiwa uwe makini kila ukiona jani latikisikaa hata kama kuna upepo mkali!

Duh na wewe lakini mbona unautesa mtima wangu lakini?
 
Mkuu Geoff, mi wala siongezei neno, walichosema wakubwa wenzangu apo juu correct kabisa,,

Ila on a separate note, vipi lile libeneke la yule binti aliyekung'ang'aniza umuoe kwa vila ana mtoto wako, limeishaje..update muhimu mkuu!

MwanajamiiOne,.......ngoja.
 
Gf alikumwaga then anatumia karata ya kukupeleka overseas kukurudisha?
Damn it....you shoudn't have even thought about it!
Kama hakukufaa wakati wa mvua, hata wakati wa jua hakufai....move on bro!

Au anajua wewe una 'udhaifu' wa kulegea ukitajiwa neno overseas?
 
MI naona jamaa achukue tu mzigo maana sasa atakuwa amejifunza nn maana ya true love hata fanya makosa cha kufanya amtafutie makaratasi na jamaa awe huko huko tu.
 
thanks bro!
Ile ishu iliisha bwana,tena kwa ushauri wenu wana jf
Kilichotokea ni kwamba nilimleta mzazi hapa dar,akaja na timu yake ya watu wenye busara zao,wakaenda kulimaliza.

Kuna gharama chache nilizitoa,na pamoja na daycare ya mtoto kwa muda wote watakao kuwa nae.

Wamesema watanipa my kid when she is 7yrs.Nashukuru mungu even that lady is not my enemy any more!iilikuwa ni swala la kuwaelewesha tu kwamba hata wakilazimisha still haitasaidia.
Una kumbuka sana Chief?ndivyo ilivyokuwa.Fidel anajua vizuri sana hii movie,sababu alishiriki kwa nafasi yake.
 
hahahahah!
Mkuu,
mimi nadhani labda yeye ni dhaifu wa neno overseas,sasa anadhani kila mtu atazugika kiivyo!

Lakini Pia mkuu nakushukuru kwa ushauri wako mzuri!I PROMISE TO MOVE ON WITH MY LIFE!
 
thanks bro!
Ile ishu iliisha bwana,tena kwa ushauri wenu wana jf
Kilichotokea ni kwamba nilimleta mzazi hapa dar,akaja na timu yake ya watu wenye busara zao,wakaenda kulimaliza.

Kuna gharama chache nilizitoa,na pamoja na daycare ya mtoto kwa muda wote watakao kuwa nae.

Wamesema watanipa my kid when she is 7yrs.Nashukuru mungu even that lady is not my enemy any more!iilikuwa ni swala la kuwaelewesha tu kwamba hata wakilazimisha still haitasaidia.
Una kumbuka sana Chief?ndivyo ilivyokuwa.Fidel anajua vizuri sana hii movie,sababu alishiriki kwa nafasi yake.

Mkuu hongera sana mkuu, naikumbuka iyo issue tuliijadili kwa mapana ,, Dogo Fidel najua alituwakilisha wadau wengine,,, hicho ndo tulikuwa tunakitaka...a pragmatic solution!

Sasa achana na huyo wa makaratasi mkuu, we move on!
 
MI naona jamaa achukue tu mzigo maana sasa atakuwa amejifunza nn maana ya true love hata fanya makosa cha kufanya amtafutie makaratasi na jamaa awe huko huko tu.

hahaha mkuu Fidel apo utamchoma mwezako, hapo hakuna kingine zaidi ya kufulia, I mean uyo binti na makaratasi yake amefulia tu!

kwani amesikia Geoff ana shida ki ivo?
 
Dogo Fidel najua alituwakilisha wadau wengine,,, hicho ndo tulikuwa tunakitaka...a pragmatic solution!

Yeah ishu iliisha kiutu uzima.
Nilichukua mawazo ya hapa nikausoma mchezo dah ndani ya 30min wazee na binti wakalainika mkuu maswala yakaisha mezani.
 
I suppose vi Heineken na Kilimanjaro vilitembea pia...bila kusaha nyama choma..si unajua oenye udhia...lol:D
 
hahaha mkuu Fidel apo utamchoma mwezako, hapo hakuna kingine zaidi ya kufulia, I mean uyo binti na makaratasi yake amefulia tu!

Unajua huyu binti enzi hizo alimzimia sana Geoff kisha penzi lika chuja ndo hivyo tena kila mtu kashika njia yake sasa binti kamkumbuka tena Geoff ametokea kumpenda sana kwa mara ingine kama anamshughulikia makaratasi basi jamaa aende tu kisha akifika kule nae anamgeuka kama yeye anavyo mgeuka huyo.
 
Mkuu Geoff keshasema yeye sasa hivi emshamove on.....si umesikia wanataka kuoana kabisa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom