My ex anataka nimwazime hela!

My ex anataka nimwazime hela!

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
8,084
Reaction score
4,363
Habarini za ucku wapendwa.jaman kuna siku niliweka post hapa kuwa nimemmis my ex nahtaji msaada wa kumsahau,nawashukuruni kwani mlinipa pole,kunifarij na mawazo pia thenk u sana kwan naendlelea na mambo yangu bila .kama tittle ijielezavyo,toka juz j2 my ex amenitext kuw anaomba nimwazime kiasi fulani cha hela,uwezo wa kumpa hel hyo ninao na japo hatukuachana kwa ugomvi but ctak kuendelea na mawasiliano naye.kanitumia text nyingi akidai nimsaidie cjajibu hata moja,toka jana ananipigia sim sipokei,je nafanya vibaya au nipo sahihi?
 
kama hamkuachana kwa ugomvi inawezekana mkawa marafiki japo utakapompata mwenza wako lazima umueleze mipaka au kupunguza kama sio kuondoa kabisa mawasiliano kuhusu pesa we mpe lakini ujue kulipwa usahau ukimdai tu atakwambia njo geto uchukue ukienda ujue umeliwa
 
Mapenzi ndo pesa pesa ndo mapenzi.
Hebu jaribu alaf urudi jamvini kwa feedback ya madai
 
kumbe wako wengi,nilifikiri ni mimi tu,
Mwambie kuwa huna hizo hela kwani huo ni mtego tu mkuu.
 
msaidie kama dadako na sio x wako na kwanini umchukie mtu ambaye mmeachana nae vipi mkuu toa hiyo hela bana acha mkono wa birika..
 
kuachana sio uadui, kama una nia ya kumsaidia ni jambo zuri na kama huna nia hiyo ni roho mbaya.
 
mi nashangaa jamani kama umeachana nae mawasiliano yaishe mkikutana barabarani mpe hi inatosha,hayo mambo ya mawasiliano kwenye simu:nono::nono::nono: kuombana pesa:nono::nono: kwani bila ww hawezi kuishi ukimpa we zombie(according to me)
 
kuachana sio uadui, kama una nia ya kumsaidia ni jambo zuri na kama huna nia hiyo ni roho mbaya.

mmmmmh kuachana sio uadui lakini kila mtu ashike hamsini zake ataomba pesa,kesho atarudi,keshokutwa inamaana huyu yeye hana watu wengine wa kuwasaidia,ntamsaidia my x endapo nina nia ya kurudiana nae nasio kwa sababu hatujaachana kwa uadui,vitu vingine ni kujiendekeza.
 
Habarini za ucku wapendwa.jaman kuna siku niliweka post hapa kuwa nimemmis my ex nahtaji msaada wa kumsahau,nawashukuruni kwani mlinipa pole,kunifarij na mawazo pia thenk u sana kwan naendlelea na mambo yangu bila .kama tittle ijielezavyo,toka juz j2 my ex amenitext kuw anaomba nimwazime kiasi fulani cha hela,uwezo wa kumpa hel hyo ninao na japo hatukuachana kwa ugomvi but ctak kuendelea na mawasiliano naye.kanitumia text nyingi akidai nimsaidie cjajibu hata moja,toka jana ananipigia sim sipokei,je nafanya vibaya au nipo sahihi?

Msaidie tu kama una moyo wa kumsaidia,ipo siku utapata tatizo nae atakusaidia,ndivyo binadamu tunavoishi huku chini ya jua,
Huhitaji kuwa na complications nyingi hadi kuanzisha thread kisa umeombwa kumuazima mtu sh.20000...

Anyway....kila mtu ana moyo wake kiukweli....me naona rahisi tu....

nyie wanaume mnajifanya baba huruma eti hakuna shida lakini ukisikia girlfriend au mke anamsaidia x wake mnamind sana,sijui huo ubinadamu uko kwenu tu au vipi, muwe mnapima basi kwenye mizani hicho unachokifanya na mwenzio akikifanya utajisikiaje?
 
Kama kwel ana tatizo na unaweza kumsaidia, tahadhari: Kama umeachana na mtu na bado ana kitu chako au una chake kurudiana lazima....mana hvyo vitu ni kama agano kwenu
 
Habarini za ucku wapendwa.jaman kuna siku niliweka post hapa kuwa nimemmis my ex nahtaji msaada wa kumsahau,nawashukuruni kwani mlinipa pole,kunifarij na mawazo pia thenk u sana kwan naendlelea na mambo yangu bila .kama tittle ijielezavyo,toka juz j2 my ex amenitext kuw anaomba nimwazime kiasi fulani cha hela,uwezo wa kumpa hel hyo ninao na japo hatukuachana kwa ugomvi but ctak kuendelea na mawasiliano naye.kanitumia text nyingi akidai nimsaidie cjajibu hata moja,toka jana ananipigia sim sipokei,je nafanya vibaya au nipo sahihi?
Hiyo fanya kutoa tu. Mi wangu alikujaga na gea hizohizo, baada ya kumdai akaanza eti kukumbushia nguo alizokua akinifulia na chakula alichonipikiaga eti hakufanya bure!!
 
nyie wanaume mnajifanya baba huruma eti hakuna shida lakini ukisikia girlfriend au mke anamsaidia x wake mnamind sana,sijui huo ubinadamu uko kwenu tu au vipi, muwe mnapima basi kwenye mizani hicho unachokifanya na mwenzio akikifanya utajisikiaje?

Asnam
sasa hapo shost unakosea,huyo dada hana mpenz kwa sasa....she can decide on her own....lakini kama yupo kwenye mahusiano mapya..kwa hali ya kawaida tu lazima itamuumiza mwenzie make itaonesha she's still in love kwa mshkaji...lakini kama yupo singo kama alivyojipambanua hapa...amsaidie tu...inawezekana jamaa ana shida kweli...huwezi jua....

LAKINI,kuna kitu nakifahamu nyuma ya hilo(siamini kama kweli jamaa anataka mkopo kwa kuwa ana shida na amekosa pengine,ila ameona huyu dada bado kama 'anajipendekezapendekeza' kwake....kwa kufahamu bado anampenda kaamua kuwa awe anampiga hata mzinga kumfariji dada wa watu)

Halafu,kwa nini na wewe uendeleze mawasiliano na mume wa mtu? unatafuta nini? bora basi kama ni Ex na bado yupo sigle....lakini jamaa kaoa tayari...haina maana hata ya kuendelea kuwasiliana nae....
Siku mke wa jamaaa akigundua itamuuma sana.....(talking from my experience)

Ni hayo tu!

cc
Munkari
 
Back
Top Bottom