My dream husband.....

Ndio maana JD aliimba natamani kuwa malaika
Utoto raha, unaota huku watembea
 
Huko mbona mbali 25 tu ataanza kuhaha ikifika 30 jeuri yote kwisha aje mfupi mweusi bora liende

Aa wapi,inategemea,mi nina 31 na kaja mtu anataka kunioa cjampenda nimemwacha!kisa cha kuishi na mtu ambae humpendi?!aka,atatokea tu....
 
  • Thanks
Reactions: Meg
Me i wish my future husband awe mrefu,mweupe,hard worker na mwenye kupenda family yang n u?wat z ur wishezs 2ur future husband or wife???

I would like my future husband to be a wife! Period.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom