My dream cabinet 2015 - 2020

Engineer.Habib Mnyaa lazima akae sehemu

Hakuwekwa pahala popote sababu katika kura za maoni jimboni kwake MKANYAGENI wapigakura wake wamempa nafasi ya tatu akaokolewa na baraza kuu. Labda apanga safu amezingatia hilo
 
Kwa kweli umethubutu sasa kama Zanzibar pia ikakwapuliwa na UKAWA ule mseto vipi?
 

Ni kweli watz tunahamu ya mabadiliko na kweli tunayahitaji lakini huo mbadala wa waliopo ndio hao??!!! Sijui
 

Mkuu japo ulichoandika ni kitu cha kusadikika hata hivo sio mbaya tukishauri incase miujiza ikatokea
Namba 1 ndipo kosa lako lilipo,ni Bora huyo DJ awe hata makamu wa Rais au PM lakini sio hiyo Wizara uliyompa,nashauri yeye umuweke wizara za kisanii hapo jukumu hilo Muachie Profesa Lipumba.
 
Jamani msimsahau Zitto Kabwe kama naibu Waziri wa Mambo ya ndani..
 
Ni kweli watz tunahamu ya mabadiliko na kweli tunayahitaji lakini huo mbadala wa waliopo ndio hao??!!! Sijui

mkuu, hujakatazwa kupanga dream cabinet yako.

criticise (kata mti) lakini toa wazo mbadala (panda mti).
 
Ni kweli watz tunahamu ya mabadiliko na kweli tunayahitaji lakini huo mbadala wa waliopo ndio hao??!!! Sijui

Haa ha ha ni kama tunataka kulazimisha hivi wakati option haipo.


Hapo sijaliona baraza kabisa hapo.Tujenge vyama, tuongeze uwezo.Hilo kundi lililopo hapo hakuna uongozi, hawana upeo wa kushika nafasi hizo.

Kwenye hiyo timu mwenye uwezo wa uongozi ni watu wanne tu, Dr Slaa, Mbatia, na Prof Lipumba na Kafulila mwenye hadhi ya kuwa Naibu Waziri.


Wengine wapo hapo uwezo wao mwisho wao ni ubunge tu
 

Hujui DJ yupo kipesa zaidi?kama Ukawa ikiingia madarakani DJ atahitaji kama sio uwaziri mkuu ni kwenda kukaa kwenye pesa.Yupo kipesa zaidi.
 
yaani wenje aongoze wizara ya elimu? utakuwa mwehu wewe. hivi kuna wizara inaweza ongozwa na sugu?
ama kweli hiki ni kinyesi cha aina yake. da!


 
And it will remain the DREAM forever...!!!

Keep dreaming, CCM Lowassa 2015 ndio mpango mzima..!!

Enjoy ur UKAWA nightmares...!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…