Baba angu alituambia someni mimi sikusoma lakini nataka nyinyi msome. .na sintochoka kuwasomesha
Alikua mnywaji mzuri wa pombe ila ninachomsifu alikua muwekezaji mzuri wa ardhi
Hakua mtu wa kuhudhurua katika nyumba ya ibada lakini alikua mstari wa mbele kuhakikisha hatukosi kwenye nyumba ya ibada
Ila mzee alitudekeza mno. .namkumbuka kila iitwapo leo