beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 524
Oohh beibe nasty karibu sana tulikumisso mbaya. Daddy wako watu8 ngoja aje hapa aje ajitetee maana alikuwa anakana watoto wake
Asante dear one
Nimekuja mbio kama kuku aliyekoswa koswa na kisu siku ya hitma....eenh hebu nambie binti yangu mpendwa ndio nini kumsusa dad yako hivyo?
Dad u know mambo yalivokuaga n unfortunately niliumwa mtoto wako we si ulikimbia but here iam dady mekuja kukufuata🙂
Alaa !
Kumbe upo dunia hii my formal ex?
Nilisikia uko Netherland and then ukahamia Holland .
Is't ?
Btw karibu sana.
Pole sana halafu nakuona namna unavyong'aa kama kioo juani...
Watu na watoto wao
Nimekuja mbio kama kuku aliyekoswa koswa na kisu siku ya hitma....eenh hebu nambie binti yangu mpendwa ndio nini kumsusa dad yako hivyo?
daddy tuko wa ngapi?
Dadiiiiii kioo juani jaman lol...hatari sasa
daddy tuko wa ngapi?
mtoto mzuri hujambo....?