Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,080
- 136,546
🖕Nimeona na nitaona...
Wanamtandao ndio waliofanya uchafuzi wa serikali za mtaa 2019 uwe vile ulivyokua, wanamtandao ndio walifanya uchafuzi wa 2020 uwe vile.Kwamba wanamtandao wakaondoa Askari kwenye makazi ya viongozi pale area D, pamoja na CCTV? Kwamba wakazuia uchunguzi usifanyike baada ya tukio? Kwamba wakazuia matibabu na kumfuta Lissu ubunge?
Aaah Nyaningabu, you used to be intelligent and remarkable critical thinker, where have you put that an outstanding brain of yours?!!!!!
Kiukwel,lissu alishambuliwa na magufuri na tufunge mjadalaKwamba wanamtandao wakaondoa Askari kwenye makazi ya viongozi pale area D, pamoja na CCTV? Kwamba wakazuia uchunguzi usifanyike baada ya tukio? Kwamba wakazuia matibabu na kumfuta Lissu ubunge?
Aaah Nyaningabu, you used to be intelligent and remarkable critical thinker, where have you put that an outstanding brain of yours?!!!!!
kama tukikubali wanamtandao walimfyeka rais , basi wanamtandao yawezekana wananguvu hiyoKwamba wanamtandao wakaondoa Askari kwenye makazi ya viongozi pale area D, pamoja na CCTV? Kwamba wakazuia uchunguzi usifanyike baada ya tukio? Kwamba wakazuia matibabu na kumfuta Lissu ubunge?
Aaah Nyaningabu, you used to be intelligent and remarkable critical thinker, where have you put that an outstanding brain of yours?!!!!!
Hii uzi akiiona chalamila atakwambia usiuze uduvi utaolewaCrazy huh? Maybe it is crazy, but it ain’t far-fetched.
💯Kwenye system kuna mambo mengi yanayoendelea, wewe ukiwa Rais huwezi ukatuma watu waende kuua kila siku wapinzani wako wakati unajua fika itakuchafua moja kwa moja, kwahiyo kuna uwezekano wa kikundi kisichokutakia mema kikatumia hilo gape kukuchafua kwa kuwaondoa wapinzani wako kwa kuwaua kikatili ili uyumbe maana pressure itakayokuja kwako kutoka kwa wananchi ni kubwa na utakua umechafuka sana.
Kwa nini unaamini badala ya kujua?Kwa hili naamini Magu alihusika, tena 100%
Chalamila ni takataka tu.Hii uzi akiiona chalamila atakwambia usiuze uduvi utaolewa
Kwa sababu sikuwepo walivyokuwa wana-plot mpango mzima, ila ukiangalia kwa umakini unaona kabisa uhusika wa jamaa. Bunge kugomea stahiki zake, matibabu yake, kusafirishwa hospitali vyote bunge na serikali haikushiriki hata kidogo, wakajitolea watu binafsi kumsafirisha na nadhani hata matibabu.Kwa nini unaamini badala ya kujua?